Na kweli yabidi uwe mvumilivu saanahumu ndani inabidi tuvumiliane maana kuheshimiana tumeshindwa
Yaani kwa avatar yako kila unacho comment huwa naona ni utani kutokana na Muonekano wa avatarkwani vina uhusiano au ?
kwa hiyo unashauri nini?Yaani kwa avatar yako kila unacho comment huwa naona ni utani kutokana na Muonekano wa avatar
kuna watu wapo kwa ajili ya kukomeshana humu ila kwangu watashindana tu lakini hawatashindaNa kweli yabidi uwe mvumilivu saana
[emoji125] [emoji125]dp yangu ya whatsapp tu haijawahi kukaa picha ya mwanamke hata dk 1
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utapigwa ban moja hatari, jf utakua invisible for the rest of your lifeInvisible nahisi ni mweusi mwenye ngozi ngumu kama ya goti na huwa hacheki!! Siyo salama kukaa naye karibu mahala penye giza mkiwa wawili tu.
All in all nimeview JF kwa miaka kadhaa tangu 2008 mpaka nilipopata ubavu wa kujoin baada ya kupata wajukuu nikasema yatakayonikuta tukisombwa wote hayaaa nimeacha mbegu. Ila siku ukijoin that is when you are a member. Guests are as many as 100 millions everyday.Inawezekana ni New id usishangae au alikuwa anatumia jf Kama viewers wa kawahda pasipo kusign in
Kwani umeambiwa utaje kabila au mtu alivyo wee mchokozi kaa ninimvulana wa kichagga
ila nimepatia kiduchu kabila lako etiiii! halafu nikishasema wewe ni mvulana wa kichaga sasa ni juu ya wasomaji kutafakari wavulana wa kichaga wakoje, tehe tehe tehe teheKwani umeambiwa utaje kabila au mtu alivyo wee mchokozi kaa nini
Don't tell me ulidhani ni mimiMtoa Uzi kasema avatar so ww, kajuaje ? , ama niuhalisia?
Aaamenkuna watu wapo kwa ajili ya kukomeshana humu ila kwangu watashindana tu lakini hawatashinda
Sio kweli, haujapatiaEvelyn Salt
Huyu ni maji ya kunde, mwembamba na muongeaji sana. Ni wale wadada ambao hawachelewi kukupa makavu laivu. Umri wake ni kati ya 25 years na 35 years.
.