Wadau wa JF karibuni tunywe Pombe

Wadau wa JF karibuni tunywe Pombe

Huyo hajakutukana kwani tusi kwa mlevi ni kumwaga pombe yake.
 
Nautuambie ulikutwa na kisa gani hata ukaamua kiacha gambe?
Niliamua tu mkuu. Na hii si mara ya kwanza hata miaka ya nyuma nilishawahi kuacha mpaka kwa miaka zaidi ya miwili. Ila sasa nataka kuunganisha kimoja.
 
Niliamua tu mkuu. Na hii si mara ya kwanza hata miaka ya nyuma nilishawahi kuacha mpaka kwa miaka zaidi ya miwili. Ila sasa nataka kuunganisha kimoja.
Kidogo kwa afya sii mbaya.
 
Back
Top Bottom