kwa kweriπ umetisha kiongoziM/kit wa kitongoji
Kaliua
Tabora.
π π π Huo sasa uchokozi wenye timu yao wakikusikia utapigwa maweMimi ni mbeba mikoba ya uganga, katika kamati ya ufundi ya timu mmoja wapo iliyopo kariakoo!
Hatuna Raha, tumekula hela ya uganga, mechi imeharishwa! Wenyewe wanataka hela yao.
Tunafikiria kutoa tamko Leo!
Sina kazi Mimi ni maskini wa kutupwaWakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
Rubani hapa wa JF nimekaa mstari wa mbele kabisaKaribuni