Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

Sijasoma huo upuuzi, tafuta hela pimbi wewe
 

Shida hapo sio hasira zako walaa. Shida ni kwamba unampenda sana na kajua hiloo. Hawajuagi kuthamibi na kutumia nafasi za mahali wanapopendwa sana, zaidi ya kukuona fala na boya fulani la kukuchezea. Wanajuaga tutapenda daima na kung'ang'ania hapohapo milele yote. CHA KUFANYA JIKAZE MOVE-ON KIKWELIKWELI utatoboa
 
Anawasiliana na ex wake ukiwa Naye,amekudharau kiwango Cha Mwisho
 
Demu yeyote kama anakupa nafasi na muda wa kumnyandua na hana noma kwenye kunyanduliwa kula mzigo mwachie mambo yake, hivi wengine mna mboaa dhaifu sana piga hio kitu acha ufala
 
Sasa anabadilikaje yeye wakati sio mkosaji aaliyah? [emoji182][emoji182][emoji182]
Naongea Kwa experience mwanamke akijua anapendwa Huwa tunahis wanaotupenda km ni wajinga
Akiambiwa tuachane anamtingisha anajua ataomba msamaha yeye huenda alishazoea kumuomba omba msamahana
Nae akaushe alimwambia tuachane amjibu sawa Kisha aone itakuwaje
 
Kama huyo Ex wake anakuzid kipato atakutesa sana.
 
Hizo zako nikiziangalia Hasira zina mawili zikuue wewe au zimuue huyo mwenye hofu
 
Huyo hana mapenzi na wewe, moyo wake bado uko kwa ex full stopuu
 
MUACHEEEEEEEEEEE
kwani shngapi?

Atakuja kukuua kwa stress
 
Yaani ushasema anawasiliana na ex wake na Bado unataka ushauri mbona haujiongez wewe haupo kwake(hakutaki) ungekuwa kwake(anakutaka/kukupenda) huyo ex asingekuwa na nafasi Tena. Kiufup achana naye lasivyo utakuja kuandika Uzi mwingne mzito zaidi ya huu ulioandka Leo si sio nyingi.

Note: Sifahamu Sana kuhusu historia ya mahusiano yenu ila kwa experience niliyonayo ukiona mwanamke Bado anamahusiano na ex wake basi hao awali hawakuachana kwa kupenda Bali kuna force ilitumika kuwaachanisha Leo sitaongelea ni force ipi ila mwenyw utakuwa unajua either pesa n.k lakini unachotakiwa kufaham mapnz ya hvyo hayaishi had waachane wenyew
 
Achana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…