Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

Ningekushauri uachane naye, ila mapenzi ni ya wawili.
 
Alaa ndio maana kukupenda kote huku unaniona mimi fala sio, sawa mungu atanilipia machozi yangu hayataenda bure ujue
 
Muache uje kwangu chap
 
Mwanaume unapataje muda wa kujielezea kwa mwanamke kama una hasira? Watoto wa siku hizi bn
 
Mle tiGo
 
Unadate na Malaya muache 😁
 
Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi sana kumuomba abadilike,
Jinga sana wewe

Unaomba mahusiano na malaya?

Mwanamke anayewasiliana na ex wake inaonyesha jinsi gani anakudharau

Vijana wa miaka hii mmekuwa wapumbavu sana
 
Achana nae mkuu ex keshafanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…