Usiwe na stress na hasira ukaingia JF.Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome to the world, calm down, just relax, Mbona una Hasira hivyo, kumbuka maigizo nayo ni michezo.Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu!!
Siku hizi nimejikuta naangalia mieleka baada ya kulazimishwa na watoto Hahahaha unataka kuungalia kipindi cha wanyama ghafla mwenye remote anaweka mieleka balsa. Nimeanza kumpenda AJ Style baada ya kumpiga Nakamura Hahahaha Asuka na mdada mwingine Rando daaahWelcome to the world, calm down, just relax, Mbona una Hasira hivyo, kumbuka maigizo nayo ni michezo.
Karibu mgeni kwenye jukwaa letu....Wadau wapo wanakusalimia.....Tatizo umekuja kwa speed sana...Just calm down tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh , kweli umelazimishwa.....sio Rando, ni Ronda ......Umenikumbusha Random selection Kwenye hesabu za statisticsSiku hizi nimejikuta naangalia mieleka baada ya kulazimishwa na watoto Hahahaha unataka kuungalia kipindi cha wanyama ghafla mwenye remote anaweka mieleka balsa. Nimeanza kumpenda AJ Style baada ya kumpiga Nakamura Hahahaha Asuka na mdada mwingine Rando daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa mbwa wapo[emoji23]Hatimaye New Day wameibuka kuwa the new Smackdown Tag team Champion baada ya kuwachakaza The bludgeon Brothers {Haper & Rowan}
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo haswa alinifurahisha alipotembeza kichapo hadi kufungiwa. Juzi nikaona kachukua mkanda kwa yule mwenzangu na mie Bliss kama sijachemka jina. Ukishakuwa na vijana labda uongeze TV aise utalazimishwa tuDuh , kweli umelazimishwa.....sio Rando, ni Ronda ......Umenikumbusha Random selection Kwenye hesabu za statistics
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaWelcome to the world, calm down, just relax, Mbona una Hasira hivyo, kumbuka maigizo nayo ni michezo.
Karibu mgeni kwenye jukwaa letu....Wadau wapo wanakusalimia.....Tatizo umekuja kwa speed sana...Just calm down tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzee baba miaka inakwenda mbele hairud nyuma...mbona mwanao hujampeleka shule uliyosoma wew umempeleka shule za kisasaNimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga bana......Kila kitu watakwambia zamani ilikuwaga hivi, zamani ilikuwaga hivi........Ndo tatizo la closed minded .......Wao wanaangaliaga zamani tu.Sasa mzee baba miaka inakwenda mbele hairud nyuma...mbona mwanao hujampeleka shule uliyosoma wew umempeleka shule za kisasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda sana ile DDT ya kiwango cha lami aliyopigwa na Dean Ambrose!!
mwenzio dean nlimsahau kabisa yani..kabadilika halafu mwili umeongezeka zaidiNimeipenda sana ile DDT ya kiwango cha lami aliyopigwa na Dean Ambrose!!
Amenenepa![emoji13][emoji13][emoji13]mwenzio dean nlimsahau kabisa yani..kabadilika halafu mwili umeongezeka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app