mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
startimes siku izi sioni mielekaKama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
Mkuu nunua king'amuzi cha DSTV kwa sababu kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unapata mieleka yote live(raw,smackdown,NXT e.t.c) pamoja na marudio wiki nzima!Sya
startimes siku izi sioni mieleka
Bila kusahau PPV zote atazionaMkuu nunua king'amuzi cha DSTV kwa sababu kwa kifurushi cha tsh 19,000/= tu kwa mwezi unapata mieleka yote live(raw,smackdown,NXT e.t.c) pamoja na marudio wiki nzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
They will go nowhere!Ziggler and Macintyre wamekuwa New Tag team champion baada ya kuwapiga the B team
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa B team kutetea mkanda wao sidhani labda wale AOP wanaweza kuchukua
mechi za tag team zitakazofuata zitakuwa tamu sana!Kwa B team kutetea mkanda wao sidhani labda wale AOP wanaweza kuchukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemiss sana huu mchezo.... The shield ilifanywaje?
Nimemiss sana huu mchezo.... The shield ilifanywaje?
Asante kwa kunikata kiu!
Duh! Kweli wamefanywa vibaya
Kwa kuwa wewe ni Roman hater anza sasa kumshabikia Braun Strowman coz tar 16 sept kwenye Hell in a Cell, main event itakuwa ni Braun vs Roman cage match