Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkanda wa heavy weight wa Raw anapewa Monster Among Men, mieleka huwa wananamna ya kumpata bingwa
Mara mia angekua anapigana na bishoo roman mzee wa mapigo mawili kamaliza yani spear na superman punch ndio ungesema huyo monster angeshinda.ila anapigana na brock aliyemvunja kiuno undertaker na kuvunja rekodi yake.
 
Mara mia angekua anapigana na bishoo roman mzee wa mapigo mawili kamaliza yani spear na superman punch ndio ungesema huyo monster angeshinda.ila anapigana na brock aliyemvunja kiuno undertaker na kuvunja rekodi yake.
Mieleka huwa ya ajabu sana, matokeo yake wakati mwingine yanadhangaza we utaona
 
21-1 bado mnamlingalisha brock na fin na seth kweli nimeamin mahaba yakizidi yanaficha uhalisia.kuna wengine wanalalamika kwamba hapigani kila wiki kutetea mkanda wake hua na mimi najiuliza hao wanaolalamika wanamaanisha nini.kama mtu hapigani mara kwa mara na akija kupigana bado anawapiga hao wanaopigana kila week alaf bado unasema brock sio bora.kweli mtz ata umfanyie jambp gani hawezi kuridhika.brock alimlazq undertaker dunia ilisimama,brock kashampiga braun,roman zaidi ya mara tatu,brock kampiga goldberg the animal,kampiga aj stylz,sam joe,cena na list kibao na mara zote anatokea kwenye mapambano ili hali wenzake daily wanapigana.akipigana huyu kila wiki si ataua watu.hili jukwaa halimpi haki anayostahili huyu mnayama lesnar ila ipo siku hili jukwaa litampa heshima yake na sio kumlinganisha na waruka sarakasi kina seth
Mara mia angekua anapigana na bishoo roman mzee wa mapigo mawili kamaliza yani spear na superman punch ndio ungesema huyo monster angeshinda.ila anapigana na brock aliyemvunja kiuno undertaker na kuvunja rekodi yake.
 
Nimeuliza mikanda ya raw tag team itakuwaje baada ya washindi rollin na dean kutengana au kugombana leo siku ya tatu sijapata jibu.
Mkuu ukiwa unahitaji kujua chochote kuhusu wwe uwe unaposti hapa utapata majibu fasta sana!!
 
Jamaa anawapiga saivi hamna wa kumzidi huyu jamaa strowman ana mwili mkubwa akili ndogo atachezea vya kutosha hiyo ijumaa
 
Nimeuliza mikanda ya raw tag team itakuwaje baada ya washindi rollin na dean kutengana au kugombana leo siku ya tatu sijapata jibu.
Mpaka sasa hivi haijulikani ni nini kitatokea ila kuna uwezekano huu hapa:[emoji116]

........but the animus between Ambrose and Rollins seemingly makes it impossible for them to continue as champions.

Perhaps acting Raw general manager Baron Corbin will simply vacate the titles, or he could set up a match where Rollins puts the Intercontinental Championship on the line against Ambrose and the winner gets the tag titles as well.

More info at:Dean Ambrose Turns Heel, Attacks Seth Rollins After Winning Raw Tag Team Title
 
Storry yangu yakuhuzunisha sana .....

Basi ile siku ikawa kama ilivyo kuawa wakaja akapita gari langu bovu kiukweli nakupenda sana
Kombe la dunia mama akanichapa nikalia shuleni kwenye ile ndege tulikuwa tupo wengi sana mara rambo akapigwa ngumi na irene uwoya sijamwona tena....

Itaendelea kesho....
 
Amri ya 11.
Do not intentionally provoke the beast
The beast ni coward champion mkuu,kama kweli ni mkali akishachukua mkanda hapo kesho basi awe anakuja nao kwenye monday night raw halafu awe anatangaza open challenge halafu akishawapiga wanaume wote pale raw ndiyo awe sasa anabaki na mkanda wake nyumbani kama anavyobakiji nao nyumbani!.....Nakuhakikishia the beast hana lolote yule hata dogo finn balor ana uwezo wa kumtoa jasho la damu!!....Hapo kesho ingekuwa anakutana na dogo finn balor au dogo Seth rollins nakuhakikishia asingechomoka yule,tatizo la mzee wa get these hands nae ni kubwa jinga tu tena ni mzito sana!!
 
Aj style hajawahi kuchomoka kwa samo joe we kweli una ushabiki wa kikuda
 
Atamtoa jasho ila kipigo kitakuwa pale pale mkuu wakina Finn watajitutumua tu ila kumshinda huyu jamaa ni ngumu
 
Atamtoa jasho ila kipigo kitakuwa pale pale mkuu wakina Finn watajitutumua tu ila kumshinda huyu jamaa ni ngumu
Kwa jinsi the beast alivyo mzito kidogo ni rahisi sana kuwa kwenye dropping zone ya Finn balor na akishapigwa ile finishing ya dogo finn balor hanyanyuki tena na pia ni rahisi sana yule jamaa kupigwa CURB STOMP ya Seth rollins!.....Mimi ugomvi wangu na the beast ni mmoja tu,kama kweli ni mkali kwa nini huwa anakwepa kuja monday night raw kuja kutangaza open challenges??!.....Kama kweli ni mkali aje monday night raw kutetea huo mkanda na akishawapiga wote basi mimi sitakuwa na shida tena ya kuamini kuwa ni mkali!
 
Kwa hapo ni kweli anaboa sana anakaa na mkanda halafu anajificha kichakani hajitokezi kutetea mkanda mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…