21-1 bado mnamlingalisha brock na fin na seth kweli nimeamin mahaba yakizidi yanaficha uhalisia.kuna wengine wanalalamika kwamba hapigani kila wiki kutetea mkanda wake hua na mimi najiuliza hao wanaolalamika wanamaanisha nini.kama mtu hapigani mara kwa mara na akija kupigana bado anawapiga hao wanaopigana kila week alaf bado unasema brock sio bora.kweli mtz ata umfanyie jambp gani hawezi kuridhika.brock alimlazq undertaker dunia ilisimama,brock kashampiga braun,roman zaidi ya mara tatu,brock kampiga goldberg the animal,kampiga aj stylz,sam joe,cena na list kibao na mara zote anatokea kwenye mapambano ili hali wenzake daily wanapigana.akipigana huyu kila wiki si ataua watu.hili jukwaa halimpi haki anayostahili huyu mnayama lesnar ila ipo siku hili jukwaa litampa heshima yake na sio kumlinganisha na waruka sarakasi kina seth