Stromen ni kubwa jingaCorbin, dedeki zake aliharibu pambano! Asingempiga Strowman na mkanda Ule, Najua pambano lingekuwa gumu
Sijawahi kuona jitu kubwa kama lile halina akili kama strowman,Stromen ni kubwa jinga
Kashapotea huyo....... Amna mtu hapoRoman tutegemee kumuona mwishoni mwa mwaka 2019 au mwanzoni mwa 2020 ameanza matibabu leo hii
Kwenye Redbox, wanaonyesha Channel gani? Help please.Njoo pm!
Njoo pm mkuu!Kwenye Redbox, wanaonyesha Channel gani? Help please.
Hahaaa atarudi adui yako,na Lesnar nadhani anasali sala zote mbabe wake asirudiKashapotea huyo....... Amna mtu hapo
Becky will defeat Ronda in the Survival Series this SundayNjoo pm mkuu!
Dah yani sio mchezoRonda kapata mbabe
Ujue Raw pale hakuna dem wa kumsumbua Ronda,.. Wote laini laini. SmackDown wapo watu km Asuka, Becky, Charlote Flair... Hawa wanamsumbua Ronda vizuri tuDah yani sio mchezo
'The man' becky lynch alivunjika pua kwenye zile vurugu za juzi kule raw kwa hiyo jumapili hataweza kupambana na nafasi yake imechukuliwa na charlotte flair kwa hiyo sasa hivi ni Ronda rousey vs charlotte flair. Pia sasa hivi kwenye universal championship ni Brock Lesnar vs daniel bryan!Becky will defeat Ronda in the Survival Series this Sunday