MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,012
Brocku Lesna ni Cha mtoto kwa The master Among man tatizo huyo mshenzi Corbin ndio alimpiga jamaa na mkanda. Huo mkana wengi wakipigwaga nao wanalala mazima. Ninachopenda na kusubiri ni leo Asubuhi Huyo muigiza Jeneral apigwe hadi ajiharie. Lesna ni kuotea anaotea tu akipata mtu live live anabondwa hadi anakuwa mwekundu kama damu. Ndo maana huwa kama sio hicho kizee chake kama kimbola asingewahi shika huo mkanda hata mara moja.