Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

ila kama tukiongea bila unafiki mpaka sasa hivi hakuna mcheza mieleka ambae ni/ambae alikuwa very skills kama Rey Mysterio!
 
ingekuwa ni miaka ile ambayo Ray mystereo alikuwa kwenye pick walahi Nakamura angepigwa!
Ofcoz kweli..... Kipind kile watu km kina mitz wala wasingekuwepo maana hawana mtu type yake... Wote walikuwa balaa.... Ila saiv mitz ananipigia hadi apolo....
 
Ofcoz kweli..... Kipind kile watu km kina mitz wala wasingekuwepo maana hawana mtu type yake... Wote walikuwa balaa.... Ila saiv mitz ananipigia hadi apolo....
Eti Mitz anakupigia hadi apolo![emoji23][emoji23][emoji23]......Mitz ni aina ya mcheza mieleka janja janja ambae huwa anafocus kwenye kushinda tu!!
 
Wwe ilikuwa zaman trump na vinc macmahon uku maywether na big show ilikuwa hata mabifu ndy usiseme baadhi ya mabifu ninayo yakumbuka
1.The rock vs stone cold
2.Mack henrI vs batista
3.Randy orton vs undertaker
4.Boker t vs boogeyman(mla minyoo)
Rey mysterio vs chavo guerolo
5 .Ecw vs raw
6.Raw vs smack down
7.Jbl vs eddy guerelo Hili ndy pambano la mwisho la eddy
8.Batista vs undertakel
9.Big show vs big daddy v mpaka ulingo ukasambalatika
10.Trish vs naomi
 
Santino marella
Honns woogle
Hawa viumbe ni burudani sana sijui wamepotelea wapi
 
Eddie guerrero yule mme wa vicky guererro kumbe jamaa alikufa nilijua kaamua kupumzika, na uyo jamaa ilikuaje akaua familia na yeye kujiua ilikuaje mkuu simulia kidogo

kesho ntakuwa nipo free kidogo niweka makala fupi juu ya Maisha ya Chris na Kuua familia yake pia uamuzi wa WWE kutomtambua kabisa , Japo kwa ufupi
Chris Benoit alikuwa mwanamasumbwi wa Canada ambaye alipata ustaa mkubwa wakati wa kipindi chake kabla ya majanga. Ilikuwa nyumbani kwake, Georgia nchini Marekani, Juni 22, 2007, alipoibua mshtuko mkubwa baada ya kumuua mkewe Nancy Benoit na mwanaye wa kiume aliyekuwa na umri wa miaka 7 Daniel. Siku mbili baadaye naye alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwake. Baadaye ilielezwa kuwa chanzo kilikuwa ni brain damage,steroid abuse pamoja na migongano katika ndoa yake.
 
Tunasubiri mkuu.... It's looking so interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…