Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
- Thread starter
- #241
Na mitz jeMuulize Bray wyatt alifanyiwa nini na Roman reign katika match ya elimination match!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mitz jeMuulize Bray wyatt alifanyiwa nini na Roman reign katika match ya elimination match!
[emoji124][emoji124][emoji124]Na mitz je
Wale wavaa Vinyago wote nawaonaga ni skilled sana,ila kama tukiongea bila unafiki mpaka sasa hivi hakuna mcheza mieleka ambae ni very skills kama Rey Mysterio!
Nakamuraila kama tukiongea bila unafiki mpaka sasa hivi hakuna mcheza mieleka ambae ni/ambae alikuwa very skills kama Rey Mysterio!
ingekuwa ni miaka ile ambayo Ray mystereo alikuwa kwenye pick walahi Nakamura angepigwa!Nakamura
Ofcoz kweli..... Kipind kile watu km kina mitz wala wasingekuwepo maana hawana mtu type yake... Wote walikuwa balaa.... Ila saiv mitz ananipigia hadi apolo....ingekuwa ni miaka ile ambayo Ray mystereo alikuwa kwenye pick walahi Nakamura angepigwa!
Eti Mitz anakupigia hadi apolo![emoji23][emoji23][emoji23]......Mitz ni aina ya mcheza mieleka janja janja ambae huwa anafocus kwenye kushinda tu!!Ofcoz kweli..... Kipind kile watu km kina mitz wala wasingekuwepo maana hawana mtu type yake... Wote walikuwa balaa.... Ila saiv mitz ananipigia hadi apolo....
Mitz namfananisha na Edge... Maana mwoga alafu mjanja mjanjaEti Mitz anakupigia hadi apolo![emoji23][emoji23][emoji23]......Mitz ni aina ya mcheza mieleka janja janja ambae huwa anafocus kwenye kushinda tu!!
Mitz alizitundika pu...mbu za appo crew kwenye kamba ndo mwanya wa kupata ushindi ulianza hapo,Mungu anamuona!!Mitz namfananisha na Edge... Maana mwoga alafu mjanja mjanja
[emoji23] [emoji23]Mitz alizitundika pu...mbu za appo crew kwenye kamba ndo mwanya wa kupata ushindi ulianza hapo,Mungu anamuona!!
Eddie guerrero yule mme wa vicky guererro kumbe jamaa alikufa nilijua kaamua kupumzika, na uyo jamaa ilikuaje akaua familia na yeye kujiua ilikuaje mkuu simulia kidogo
Tunasubiri mkuu.... It's looking so interestingkesho ntakuwa nipo free kidogo niweka makala fupi juu ya Maisha ya Chris na Kuua familia yake pia uamuzi wa WWE kutomtambua kabisa , Japo kwa ufupi
Chris Benoit alikuwa mwanamasumbwi wa Canada ambaye alipata ustaa mkubwa wakati wa kipindi chake kabla ya majanga. Ilikuwa nyumbani kwake, Georgia nchini Marekani, Juni 22, 2007, alipoibua mshtuko mkubwa baada ya kumuua mkewe Nancy Benoit na mwanaye wa kiume aliyekuwa na umri wa miaka 7 Daniel. Siku mbili baadaye naye alijiua kwa kujinyonga nyumbani kwake. Baadaye ilielezwa kuwa chanzo kilikuwa ni brain damage,steroid abuse pamoja na migongano katika ndoa yake.
Behaviourist vipi Mitz alishindaa ???Janja janja Mitz amepewa adhabu ya kuingia wa kwanza kwenye elimination chamber kwa kushindwa kumpiga Cena![emoji23][emoji23][emoji23]