Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kuna jamaa anaitwa Nakamura..... Ogopa sana haka kajamaa ni kagumu
 
Kuna jamaa anaitwa Nakamura..... Ogopa sana haka kajamaa ni kagumu
ile siku ya elimination chamber kile kichapo alichotoa Seth rollins ilibidi WWE ile siku waiite monday rollins badala ya monday raw kwa heshima ya jamaa!!
 
Finishing ya Baron Corbin nimeipenda ngoja nianze kuwagonga nayo maadaui zangu sasa!!.....Smackdown live supersport 9 now!
Na mimi ntafanya style ya Bray Wyatt
Huyu jamaa nikimwangalia huwa nacheka sana ana vituko halafu anacheka huku akiwa na hasira very strange
 
Na mimi ntafanya style ya Bray Wyatt
Huyu jamaa nikimwangalia huwa nacheka sana ana vituko halafu anacheka huku akiwa na hasira very strange
Finishing style yake anaiita sister abigail![emoji23][emoji23][emoji23]....sijui huyo sister abigail ni nani!!
 
Naisubiria kwa hamu kubwa mechi ya the viper na mzee wa glorious!!
 
Naisubiria kwa hamu kubwa mechi ya the viper na mzee wa glorious!!
Mzee wa Glorious mke wangu anammaindigi sana kisa lile song la kuingilia...ila the viper amekuwa zilipendwa finishing yake ndo inakuwaga kipigo chake kwa mjanja mfano Rusev alimpatiaga sana.....
 
Finishing ya Baron Corbin nimeipenda ngoja nianze kuwagonga nayo maadaui zangu sasa!!.....Smackdown live supersport 9 now!
Inaitwa END OF DAYS hunyanyuki ukipigwa ile Corbin namkubali sana.
Kwa mademu namkubali sana yule Big NIA JAX...sijui why namuona sexy sana..natamani angekuwa demj wangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…