Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Seth rollins bado wakati juzi kampiga miz kwenye raw!!Seth rollin bado.... Hafik hata level za AJ style.... Fin ballor namkubali sana yule chalii.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seth rollins bado wakati juzi kampiga miz kwenye raw!!Seth rollin bado.... Hafik hata level za AJ style.... Fin ballor namkubali sana yule chalii.....
Asa Mitz na yeye ni mtu..... Mitz anamwoneaga tu roman reginsSeth rollins bado wakati juzi kampiga miz kwenye raw!!
Usisahau pia kwenye elimination chamber alimtoa Reign na Cena!....Sasa hivi Seth rollins ni mtu mwingine kabisa!!Asa Mitz na yeye ni mtu..... Mitz anamwoneaga tu roman regins
ile siku ya elimination chamber kile kichapo alichotoa Seth rollins ilibidi WWE ile siku waiite monday rollins badala ya monday raw kwa heshima ya jamaa!!Kuna jamaa anaitwa Nakamura..... Ogopa sana haka kajamaa ni kagumu
[emoji23] [emoji23]ile siku ya elimination chamber kile kichapo alichotoa Seth rollins ilibidi WWE ile siku waiite monday rollins badala ya monday raw kwa heshima ya jamaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Seth kiboko alipomtandika the miz na washkaji wake hahaha
Na mimi ntafanya style ya Bray WyattFinishing ya Baron Corbin nimeipenda ngoja nianze kuwagonga nayo maadaui zangu sasa!!.....Smackdown live supersport 9 now!
Finishing style yake anaiita sister abigail![emoji23][emoji23][emoji23]....sijui huyo sister abigail ni nani!!Na mimi ntafanya style ya Bray Wyatt
Huyu jamaa nikimwangalia huwa nacheka sana ana vituko halafu anacheka huku akiwa na hasira very strange
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made my nightNa mimi ntafanya style ya Bray Wyatt
Huyu jamaa nikimwangalia huwa nacheka sana ana vituko halafu anacheka huku akiwa na hasira very strange
![]()
Kkkkkkkkk ngoja nimtafute huyo abigailFinishing style yake anaiita sister abigail![emoji23][emoji23][emoji23]....sijui sister abigail ni nani!!
Thank you have a nice rest buddy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made my night
Mzee wa Glorious mke wangu anammaindigi sana kisa lile song la kuingilia...ila the viper amekuwa zilipendwa finishing yake ndo inakuwaga kipigo chake kwa mjanja mfano Rusev alimpatiaga sana.....Naisubiria kwa hamu kubwa mechi ya the viper na mzee wa glorious!!
Inaitwa END OF DAYS hunyanyuki ukipigwa ile Corbin namkubali sana.Finishing ya Baron Corbin nimeipenda ngoja nianze kuwagonga nayo maadaui zangu sasa!!.....Smackdown live supersport 9 now!
Yan asuka angeolewa na nshinsuke kwakweli mwiz angekua haingii ndaniHivi Ronda Rosy kusain tena WWE ndo kusema inaweza kuwa mwisho wa matambo ya Asuka????? Ndo kusema Asuka kataftiwa mbabe baada ya kushindikana??
[emoji23][emoji23][emoji23]Yan asuka angeolewa na nshinsuke kwakweli mwiz angekua haingii ndani