Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Asuka alizidiwa mno na nia jax na yule women in the benk(nisaidie jina),kwa wasichana namkubali sana Naomi.ila kwa wanaume nakamura pia anabebwa sana na uongozi.mawazo tu ila mieleka ndio roho yangu
Asuka yuko vzr bhana sema kila mtu ana mbinu zake za kushinda.
Sasha Bank pia nae yuko vzr.
 
Sidhani km ni fake kwsbb watu wanavunjika hadi shingo
Ni kweli akumbuke pia Dean Ambrose alivunjwa mkono mkono na atakaa nje miezi sita. Sijui ufake huo ni upi!

Labda ile ya kutengeneza bifu kati ya wachezaji ili kuvutia watazamaji, hiyo ni kweli ipo
 
Lesnar ni roho ya paka nakumbuka aliwahi angushiwa meza yaani announcing table na Strowman akatolewa kwa Ambulance kufika njee akachomoka akarudi ulingoni na jamaa na kuchukua mkanda
Niliona hio timbwili. Ila Brown Strowman nae sio wa kispoti spoti, ingawa ni mviziaji sana. Anategea watu wakoshapigwa ndipo awamalizie
 
Wale kina Owens na semi Zeni walipanga kumfanyia fujo tu.... Wala McMahon alikuwa hana mpango wa kuingulia ile mechi..
 
wale walokuwa wanasema alexa atampiga asuka wako wapi? Au hawakuona alexa alivochezea kichapo mara ya pili huku akisaidiwa na rafiki yake mikie James...

No body is ready for Asuka.
 
Daniel Bryan karudi huu mchezo utanoga sana, sijafurahishwa akina Kevin Owen walivyompiga baada ya kuwafukuza.
 
wale walokuwa wanasema alexa atampiga asuka wako wapi? Au hawakuona alexa alivochezea kichapo mara ya pili huku akisaidiwa na rafiki yake mikie James...

No body is ready for Asuka.
Haah hahah....No body is ready for the impress of Tomorrow
 
Daniel Bryan karudi huu mchezo utanoga sana, sijafurahishwa akina Kevin Owen walivyompiga baada ya kuwafukuza.
Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zao
 
Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zao
ila Bryan aliwapa kichapo kizuri pia!
 
Monday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…