Silipendi yaani na mandevu yakeHuyu shemus ni mtu wa kuvuluga gem tu, anapenda kumhalibia the big dog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silipendi yaani na mandevu yakeHuyu shemus ni mtu wa kuvuluga gem tu, anapenda kumhalibia the big dog
Asuka yuko vzr bhana sema kila mtu ana mbinu zake za kushinda.Asuka alizidiwa mno na nia jax na yule women in the benk(nisaidie jina),kwa wasichana namkubali sana Naomi.ila kwa wanaume nakamura pia anabebwa sana na uongozi.mawazo tu ila mieleka ndio roho yangu
John cena anamchokonoa ili apate chance ya kupigana naye wrestle maniaYupo ila aliapaga akipigwa na roman anastaafu
Ni kweli akumbuke pia Dean Ambrose alivunjwa mkono mkono na atakaa nje miezi sita. Sijui ufake huo ni upi!Sidhani km ni fake kwsbb watu wanavunjika hadi shingo
Niliona hio timbwili. Ila Brown Strowman nae sio wa kispoti spoti, ingawa ni mviziaji sana. Anategea watu wakoshapigwa ndipo awamalizieLesnar ni roho ya paka nakumbuka aliwahi angushiwa meza yaani announcing table na Strowman akatolewa kwa Ambulance kufika njee akachomoka akarudi ulingoni na jamaa na kuchukua mkanda
Wale kina Owens na semi Zeni walipanga kumfanyia fujo tu.... Wala McMahon alikuwa hana mpango wa kuingulia ile mechi..By the way hebu tujadili tukio alilofanya Shane McMahon kwenye Fastlane, Je alifanya halali?
Kelvin Owens alipania kumpiga teke samy zayne ambaye alikwepa na hilo teke kumpata Shane McMahon. Jamaa alikasikrika sana ikapelekea alamvuta nje Kelvin baada ya kufanya cover kwa Ziegler, pi Samy alipofanya cover kwa kelvin jamaa akamvuta referee nje. Halafu AJ akaingia akampiga kelvin na kushinda mkanda.
Hili tukio kweli McMahon alipaswa kufanya hivi?
Jumanne Samy na Kelvin walimpiga McMahon kwenye locker room hadi akalia kama mtoto
Mie naangalia ta makaburu. SS9 na SS 10. Mara nyingi kuanzia kati ya saa 3 mpaka 4 usikuMnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!
Masahihisho. Yule ni LEX LUGER. Sio AlexKuna jamaa alikuwa anaitwa Alex Luger.... Unampata mdau?
Upo correct.... Yupo wapi Huyu mtuMasahihisho. Yule ni LEX LUGER. Sio Alex
Hawa wako gwe huwa wanakua na mashindano mengine kama vile TNA nk. Nadhani yuko huko na akina Matt Hardy, Jeff Hardy, Rey Misterio, Shawn Michaels, Big Show, Billy Goldberg na wengineUpo correct.... Yupo wapi Huyu mtu
Hata Ronda akicheza anakalia kwa ASUKAMwana dada pekee wa kumpiga asuka ni ronda rouse maaan yupo good san
Haah hahah....No body is ready for the impress of Tomorrowwale walokuwa wanasema alexa atampiga asuka wako wapi? Au hawakuona alexa alivochezea kichapo mara ya pili huku akisaidiwa na rafiki yake mikie James...
No body is ready for Asuka.
Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zaoDaniel Bryan karudi huu mchezo utanoga sana, sijafurahishwa akina Kevin Owen walivyompiga baada ya kuwafukuza.
ila Bryan aliwapa kichapo kizuri pia!Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zao