Watasema jamaa alikuwa kafungwa pinguMonday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
Baada ya Wrestlemania kumalizika uje tena uandke kitachomkuta LesnarMonday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
Hakuna wa kumpiga brock lesnar pale wweBaada ya Wrestlemania kumalizika uje tena uandke kitachomkuta Lesnar
Kama aliweza kumkalisha Strowman kwenye Elimination Chamber, huyo Lesnar ni nani mpaka asipigwe..Hakuna wa kumpiga brock lesnar pale wwe
Sasa mtu kafungwa pingu atajiteyea vipi sawa na kimpiga maiti afu mjidai katoa kichapo shameWatasema jamaa alikuwa kafungwa pingu
Ukibet wrestling hutakaa ule kakaWakuu ivi kuna bet ambayo inabetisha wrestling?,, tuwe tunawalia pesa zao
Lesnar mashineHakuna wa kumpiga brock lesnar pale wwe
Amna Mkuu,lazma ule asee,,,we nambie betting unayoijua af ntakupa ripotiUkibet wrestling hutakaa ule kaka
Mchezo wenyewe wa kupanga panga tu.... Rafu nyingi uanjanAmna Mkuu,lazma ule asee,,,we nambie betting unayoijua af ntakupa ripoti
Huyu Bryan namkubali sana, na hivi amerudi kilingeni sitakosa kumuangalia.Yale akili hayana.. Bryan kayachana live.... Kwamba McMahon alikuwa anawatengenezea history ambayo badae watakuja kujivunia... Lakin kwavile akili hayana ndo yakafanya yaliyoyafanya... Pumbav zao
Uo ni uonevu, utamfungaje mtu mikonoSupasport10 marudio ya wwe sahv Brock akitoa kichapo kwa roman
Kwani hakufungwa?Watasema jamaa alikuwa kafungwa pingu
Hizo ni njama zao watu wanaingia kujifanya security kumbe Brock kawatuma wakishamfunga ndo anajitokeza kumpiga.Uo ni uonevu, utamfungaje mtu mikono
Anamzidi mpambe wa lesnar....my nem isss pol haimennn.Huyo reigns apigwe tu... Hata angekuwa kafungwa macho, maana ana sifa sana