Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kumbuka The Big Dog ndiye aliyemstaafisha The Undertaker kwenye WM iliyopita....... Kwa hiyo kwenye WM hii namuona Roman akimpeleka Lesnar UFC bila kupenda
Kwa akili gani mtu anaweza kuamini Roman reigns anaweza mpiga Lesnar.... Labda akili za kubeti
 
21-1(slogan ilikua eat,sleep,conquer,repeat
 
wale walokuwa wanasema alexa atampiga asuka wako wapi? Au hawakuona alexa alivochezea kichapo mara ya pili huku akisaidiwa na rafiki yake mikie James...

No body is ready for Asuka.
Yaan ilikuwa balaa, yule mdada anapigana buana.
 
Kipigo cha kupigana mwenzako yuko na pingu mkononi nacho ni cha kujigamba?
 
Baada ya Wrestlemania kumalizika uje tena uandke kitachomkuta Lesnar
Asante, sio wanapiga kelele hapa na wakati hilo jamaa lao ni km tu lilikuwa linapigana peke ake. Mtu ako na pingu mkononi, bado unahesabu mnapigana????
 
Brock ashampa vitasa roman reigns wrestlemania,ashampiga raw,alishampiga akiwa na Braun strauman.Brock ni mashine nyingine.muulize Randy na big show kidogo wafe uwanjani
Mi nimeona leo marudio lkn, huyo brock kachezea za kutosha tu toka kwa roman hadi akakimbia.
 
Roman reign hajatumia akili kabisa,mpaka sasa hivi sidhani kama hapo alipo anaweza kuamka kitandani kwa kipigo kile cha pingu na cha juzi!!...yeye alitakiwa atulie ili akusanya nguvu za tarehe 8!!....Sasa hivi hana nguvu tena!!
Kweli kbs, unaona hata alivyojitokeza ni km vile bado alikuwa amedhoofu.
 
Nimecheka Sana leo...... Sasa yule dada kaja na majigambo yote yale.... Mi Nikajua leo ASUKA kapata kigongo.... Heeh mara teke moja tu Tayari chali..... Daah huyu ASUKA sijui apigane na nani.
Yule dada mpk sasa hana mpinzani
 
Monday night raw ya wiki hii ambayo ndio ya mwisho tukielekea w.mania huyo roman reigns alikua hana pingu na alipigwa,wiki iliyopita alikua hana pingu na alipigwa kisawasawa.tuache mahaba wakati mwingine. Takwimu zinasemaje?Brock amepigana na roman reigns Mara ngapi?roman kashinda ngapi?jibu hamna.Brock kashampiga roman w.mania,raw na pambano alikua yy,Joe na Braun strauman.au zote alifungwa pingu.Brock ndie mwanamieleka wa kwanza kufunja rekodi ya w.mania.nani asiyejua ubishi wa kukubali kushindwa wa undertaker,triphe h na shwan Michael walimchangia lakini alishinda.ila alipokutana na mnyama the beast ubishi wake ulikoma hapo maana alichezea suplex na f5 za kutosha na kukubali kushindwa maana alikua anaona anakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…