stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Lesnar mbabe wake alikua ni undertakerHuyu mnyama Brock aendelee kubaki ili aendelee kutoa vipigo kwa madogo kama roman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lesnar mbabe wake alikua ni undertakerHuyu mnyama Brock aendelee kubaki ili aendelee kutoa vipigo kwa madogo kama roman
Kwa akili gani mtu anaweza kuamini Roman reigns anaweza mpiga Lesnar.... Labda akili za kubetiKumbuka The Big Dog ndiye aliyemstaafisha The Undertaker kwenye WM iliyopita....... Kwa hiyo kwenye WM hii namuona Roman akimpeleka Lesnar UFC bila kupenda
Yaan ilikuwa balaa, yule mdada anapigana buana.wale walokuwa wanasema alexa atampiga asuka wako wapi? Au hawakuona alexa alivochezea kichapo mara ya pili huku akisaidiwa na rafiki yake mikie James...
No body is ready for Asuka.
Kipigo cha kupigana mwenzako yuko na pingu mkononi nacho ni cha kujigamba?Monday night raw ya wiki hii ilikua tamu sana hasa mnyama mwenyewe the beast alivyotoa kichapo cha kufa MTU kwa dogo roman reigns.Brock lesnar namkubali sana hanaga cha kuremba na haitaji akoforce umshabikie ila kichapo anachotoa ww mwenyewe utamkubali.roman alichezea viti kama 70,suplex city kama 50 na pigo ninalolipenda la F5.wakati roman anapigwa F5 kabla hajatua chini niliamka kwa shange nikisema pumbavu(panya unachezea sharubu za paka)namshukuru sana Brock kutoa kichapo kile.najua mashabiki wake watasema sijui alifungwa pingu ila ujumbe umefika na roman aliondoka kwa machela.nasubiri tambo na mkwara mzito atakaoupiga Paul lazima homa impande roman hospitali
Ndio hivyo, kwani hamkuona?Watasema jamaa alikuwa kafungwa pingu
Asante, sio wanapiga kelele hapa na wakati hilo jamaa lao ni km tu lilikuwa linapigana peke ake. Mtu ako na pingu mkononi, bado unahesabu mnapigana????Baada ya Wrestlemania kumalizika uje tena uandke kitachomkuta Lesnar
Mi nimeona leo marudio lkn, huyo brock kachezea za kutosha tu toka kwa roman hadi akakimbia.Brock ashampa vitasa roman reigns wrestlemania,ashampiga raw,alishampiga akiwa na Braun strauman.Brock ni mashine nyingine.muulize Randy na big show kidogo wafe uwanjani
Shangaa na wewe, pale ni sawa tu na vile alikuwa anapigana peke akeSasa mtu kafungwa pingu atajiteyea vipi sawa na kimpiga maiti afu mjidai katoa kichapo shame
Si ndio hapo sasa.Kwani hakufungwa?
Loh, wivu tuHuyo reigns apigwe tu... Hata angekuwa kafungwa macho, maana ana sifa sana
Ajabu kweli yaaniSasa mtu kupigwa huku amefungwa pingu[emoji134] ndo unashangilia! Hhahaha
Duniani kuna mambo.
Kama kapoteza mvuto kiasi flaniYaan alinikera kweli bora kenny alivyombonda tu hataki ujinga..halafu me cena ciku hizi wala
Kweli kbs, unaona hata alivyojitokeza ni km vile bado alikuwa amedhoofu.Roman reign hajatumia akili kabisa,mpaka sasa hivi sidhani kama hapo alipo anaweza kuamka kitandani kwa kipigo kile cha pingu na cha juzi!!...yeye alitakiwa atulie ili akusanya nguvu za tarehe 8!!....Sasa hivi hana nguvu tena!!
Yule dada mpk sasa hana mpinzaniNimecheka Sana leo...... Sasa yule dada kaja na majigambo yote yale.... Mi Nikajua leo ASUKA kapata kigongo.... Heeh mara teke moja tu Tayari chali..... Daah huyu ASUKA sijui apigane na nani.
Alexa Hawezi mpiga nia juxNatamani kuona pambano la Alexa na Nia Jux.
Ukweli mchungu..... Roman reigns hamuwez Brock Lesnar.... Full stopLoh, wivu tu