Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nashngaa huyo mkuu hapo juu anajifanya mjuaji sana ndo maana nikasema nimechanganya madesaa au ili nielekezwe vizur
 
Finn balor Nakamuraaa ewaaaah
Fin Ballor namkubali Sana..... Ila Nakamura namkubali zaid, AJ Style namkubali kichizi..... Yaan Leo nipo delema, sijui kati ya AJ Style na Nakamura niwe upande wa nani..
 
Mi Leo natoa elf hamsini..... Kama Kuna mtu yupo Tayari tuwekeane.... Mimi nasema Brock Lesnar atampiga Roman reigns..... Nataka anaesema Roman reigns atampiga Lesnar tuwekeane mzigo mezani
 
Umejuaje mkuu...... maaana sijakupata kbaaa jins ulivyo tabir
 
PPV ndo nn vp kuhusu match ya Aj... ? Na uso vs new day
 
Na laitolewa na ambulance kwenda hospital
 
Mi Leo natoa elf hamsini..... Kama Kuna mtu yupo Tayari tuwekeane.... Mimi nasema Brock Lesnar atampiga Roman reigns..... Nataka anaesema Roman reigns atampiga Lesnar tuwekeane mzigo mezani
Tuweke mzigo mezani,mimi nasema Roman reign atashinda!!
 
DUhhh kumbe unaweza jua kabla..?
Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…