Monday night raw ya wiki hii ambayo ndio ya mwisho tukielekea w.mania huyo roman reigns alikua hana pingu na alipigwa,wiki iliyopita alikua hana pingu na alipigwa kisawasawa.tuache mahaba wakati mwingine. Takwimu zinasemaje?Brock amepigana na roman reigns Mara ngapi?roman kashinda ngapi?jibu hamna.Brock kashampiga roman w.mania,raw na pambano alikua yy,Joe na Braun strauman.au zote alifungwa pingu.Brock ndie mwanamieleka wa kwanza kufunja rekodi ya w.mania.nani asiyejua ubishi wa kukubali kushindwa wa undertaker,triphe h na shwan Michael walimchangia lakini alishinda.ila alipokutana na mnyama the beast ubishi wake ulikoma hapo maana alichezea suplex na f5 za kutosha na kukubali kushindwa maana alikua anaona anakufa.