Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Nalala zangu sasa hivi ili baadae niamke nikiwa na nguvu za kutosha za kuangalia RKO,suplex,spears,end of the day,choke slam,sister abigail e.t.c![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Strongman ataingia peke yake au ..? Maana hana partner....
 
Fin Ballor namkubali Sana..... Ila Nakamura namkubali zaid, AJ Style namkubali kichizi..... Yaan Leo nipo delema, sijui kati ya AJ Style na Nakamura niwe upande wa nani..
Nakamura zaidi.

Aj Style hafui dafu. Kura zote kwa Shinsuke Nakamuuuuuura.
 
Mi Leo natoa elf hamsini..... Kama Kuna mtu yupo Tayari tuwekeane.... Mimi nasema Brock Lesnar atampiga Roman reigns..... Nataka anaesema Roman reigns atampiga Lesnar tuwekeane mzigo mezani
Haaahaaahah...Mi tuwekeane kwa Nakamura.

Wee muwekee Aj, mi nimuwekee Nakamura.

Ila sio Kwa Lesnar[emoji23] [emoji119] ...Big Dog akishinda ni kwa Bahati sana, yaani kama asilimia ya Co2 on air[emoji23]
 
[emoji23][emoji23]
 
Hahaha...acha kutoa sababu za kutunga.

Wale wanapigana bila kujua matokeo yajayo.

Unatoa sababu utafikiri kweli vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Kweli Duniani kuna watu wanaojua kuongelea kitu,utadhani kweli...hahhahaha

Kama Aj atapigwa ni atapigwa kiukweli, Sababu Nakamura ni mkali.

Akishinda Asuka, ni kweli kwa sababu she Deserve it. And not Bra Bra zako ulizoongea hapo.

Hahahahahaahahhahhahahhahhahahaha
 
Reigh ataigwa tu kama kawa.

Aj atapigwa

Asuka atashinda

NB: Kama kutakuwa na Fair play.
 
Hahaah Eti Duniani Kuna watu wanajua kuongea.... [emoji23] [emoji23]
 
Nalala zangu sasa hivi ili baadae niamke nikiwa na nguvu za kutosha za kuangalia RKO,suplex,spears,end of the day,choke slam,sister abigail e.t.c![emoji28][emoji28][emoji28]
Angalia Usije pitiliza kesho tukakuhadithia
 
Hahaah Eti Duniani Kuna watu wanajua kuongea.... [emoji23] [emoji23]
Na wanaongea utadhani kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Utastaajabu sana ukiwa unaujua ukweli.

Ila ukiwa hujui utaona kweli.
 
Angalia Usije pitiliza kesho tukakuhadithia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] ...Zilikuwa zinanitokea hizo ishu nilivyokuwa Skonga...hhahhahhah Miaka hiyo.

Ilikuwa inaonyeshwa ITV. afu kwa nusu saa tu.

Nilikuwa nalala niamke, nashtuka muda ambao imeisha
 
Na wanaongea utadhani kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Utastaajabu sana ukiwa unaujua ukweli.

Ila ukiwa hujui utaona kweli.
Ngoja tuone Leo..... Ikitokea kama alivyosema bas ntaamini wanapanga matokeo... Ila Ikiwa tofauti basi ntaamini Duniani Kuna watu wanajua kuongea [emoji23][emoji23]
 
Hivi vijamaa ni vikorofi sana, Mzee wa yes yes kawaambia watapamba, yeye akiwa na Shane McMahon na wao, Kelvin na Samy wakishinda watakuwa reinstated other wise Watafukuzwa SmackDown. Sijui ni njia ya kuvutia mashabiki au lah! ngoja tusubiri tuone!
Hiyo ni njia ya kuwarudisha WWE, achilia mbali kuvutia mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…