Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakamura zaidi.Fin Ballor namkubali Sana..... Ila Nakamura namkubali zaid, AJ Style namkubali kichizi..... Yaan Leo nipo delema, sijui kati ya AJ Style na Nakamura niwe upande wa nani..
Haaahaaahah...Mi tuwekeane kwa Nakamura.Mi Leo natoa elf hamsini..... Kama Kuna mtu yupo Tayari tuwekeane.... Mimi nasema Brock Lesnar atampiga Roman reigns..... Nataka anaesema Roman reigns atampiga Lesnar tuwekeane mzigo mezani
[emoji23][emoji23]Haaahaaahah...Mi tuwekeane kwa Nakamura.
Wee muwekee Aj, mi nimuwekee Nakamura.
Ila sio Kwa Lesnar[emoji23] [emoji119] ...Big Dog akishinda ni kwa Bahati sana, yaani kama asilimia ya Co2 on air[emoji23]
Waambie mkuu..... Maana mi nikiwaambia hawaaminBrock lesnar anaua mtu leo
Hahaha...acha kutoa sababu za kutunga.Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
Reigh ataigwa tu kama kawa.Sio kujua. Ila kutokana na trend za matukio ndio hata wewe unaweza kuotea nini kitatokea.
AJ atapigwa na Nakamura sababu kubwa ni kibiashara zaidi kama ambavyo walimpa mkanda MARAHAJA WAKIHINDO yule sababu wana fan base kubwa sana na india ina watu wengi na walivyomaliza safari za india wakampokonya mkanda. So now ni time ya Japan nako kuna watu wengi so interm of business itakuwa juu sana.
So.posibbility ya Asuka na Nakamura kushinda ni 95% kwa sababu niliyoainisha hapo juu.
Kwa lesnar na Big dog...sababu kubwa ambayo itamfanya lesnar ashindwe ni yeye kurudi UFC na kuwa Big Dog ni kipenzi mkubwa wa McMan mmiliki wa WWE.....so big dog ni 95% pia.
ALEXA ....ni 96% kushinda sababu yeye ana kipaji cha kuongea ( hii nayo ni sifa kubwa kuwepo wwe kama alivyokuwa ENZO) but kuna posibility ya kimodo kucash in kibrifcase kwa asuka vs qeen au kwa alexa vs nia jax maana wengi wana cash in kwa wreslemania)
Hahaah Eti Duniani Kuna watu wanajua kuongea.... [emoji23] [emoji23]Hahaha...acha kutoa sababu za kutunga.
Wale wanapigana bila kujua matokeo yajayo.
Unatoa sababu utafikiri kweli vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Kweli Duniani kuna watu wanaojua kuongelea kitu,utadhani kweli...hahhahaha
Kama Aj atapigwa ni atapigwa kiukweli, Sababu Nakamura ni mkali.
Akishinda Asuka, ni kweli kwa sababu she Deserve it. And not Bra Bra zako ulizoongea hapo.
Hahahahahaahahhahhahahhahhahahaha
Wana juhudi, wana jituma, Waaminifu. They play fair.Namkubali sana huyu dada na yule ndugu yake Nakamura!
Angalia Usije pitiliza kesho tukakuhadithiaNalala zangu sasa hivi ili baadae niamke nikiwa na nguvu za kutosha za kuangalia RKO,suplex,spears,end of the day,choke slam,sister abigail e.t.c![emoji28][emoji28][emoji28]
Na wanaongea utadhani kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahaah Eti Duniani Kuna watu wanajua kuongea.... [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] ...Zilikuwa zinanitokea hizo ishu nilivyokuwa Skonga...hhahhahhah Miaka hiyo.Angalia Usije pitiliza kesho tukakuhadithia
Ngoja tuone Leo..... Ikitokea kama alivyosema bas ntaamini wanapanga matokeo... Ila Ikiwa tofauti basi ntaamini Duniani Kuna watu wanajua kuongea [emoji23][emoji23]Na wanaongea utadhani kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Utastaajabu sana ukiwa unaujua ukweli.
Ila ukiwa hujui utaona kweli.
Hiyo ni njia ya kuwarudisha WWE, achilia mbali kuvutia mashabikiHivi vijamaa ni vikorofi sana, Mzee wa yes yes kawaambia watapamba, yeye akiwa na Shane McMahon na wao, Kelvin na Samy wakishinda watakuwa reinstated other wise Watafukuzwa SmackDown. Sijui ni njia ya kuvutia mashabiki au lah! ngoja tusubiri tuone!