Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ngoja tuone Leo..... Ikitokea kama alivyosema bas ntaamini wanapanga matokeo... Ila Ikiwa tofauti basi ntaamini Duniani Kuna watu wanajua kuongea [emoji23][emoji23]
Mi sikubaliani...

Anajua Nakamura atashinda.
Anajua Asuka atashinda.

Sasa anawaletea Figisu figisu, ili juhudi zao zionekane "Sifuri" mbele za watu and that is not fair at all

Maelezo yake yote ni ya kujihami. Eti ""Fulani atashinda kwa sababu fulani" hahahahah

Too low
 
Match yenye mvuto zaidi ni ile ya threat triple kati finn balor, Seth Rollins na the miz!

Ila kama kawaida the miz ni mjanja mjanja, atategea kupigana na kuja mwishoni wenzake wamechoka. Asipoangalia atashangaza dunia leo
 
Hv show inaanza saa ngapi maana s8 naona vipind vyakina ngosha
 
Zile.ni.mechi zinapangwa wewe. Hata huyo lesnar ukiingia you tube anakwambia kuwa ni fake na matokeo wanayajua. Ndio maana inaitwa entertaiment na sio SPORT.
Matokeo yanapangwa ila kuruka ruka na kupigana wanapigana but matokeo wao wanayajua na washarehasal jinsi itakavyokuwa. Matokeo yanakuwaga kinyume kama mtu ameumia kwa bahati mbaya.
Pole we kama unadhani ile ni kama tyson vs evander kuwa hawajui matokeo
 
Na wanaongea utadhani kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Utastaajabu sana ukiwa unaujua ukweli.

Ila ukiwa hujui utaona kweli.
Si uende you tube mbona unakuwa mbishi hvyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Utakuwa mgeni wa Mieleka sio bure.

Watu wanavunjwa mikono, miguu,

Leo hii wewe unakuja kusema imepangwa![emoji134]

Hahahaaaa
 
Wewe inaelekea ni mpinzani wa huu mchezo.

Na uutakii mema
 
Now at 00:00 still nothing on air!![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Wewe inaelekea ni mpinzani wa huu mchezo.

Na uutakii mema
Naupenda sana na mpk now niko macho nasubiri wrelsemania. But kwenye ukweli lazima usemwe.
We nenda tu youtube andika "lesnar wwe is fake" utamuona anahojiwa na ansema kabisa ofcoz its fake and everbody knows that.
Sema huku ndio hamjui lakini mbele kila mtu anajua sema tu ndio unakuwa unakipenda.
 
Kama unakumbuka tafuta why CM PUNK alifukuzwa/waligombana na wwe akasepa zake na akasema harudi tena wwe alimchana mcman mpk wakamzimia mike.
Akawa analaamika why hampi mechi za maana za wreslemania kama walivyokubaliana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] . Utakuwa mgeni wa Mieleka sio bure.

Watu wanavunjwa mikono, miguu,

Leo hii wewe unakuja kusema imepangwa![emoji134]

Hahahaaaa
Umesoma hapo juu. Majeruhi ni bahati mbaya
 
Kevin owen na samy watashinda...sababu bado wanafurahisha na kuchangamsha wwe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…