Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Mi sikubaliani...Ngoja tuone Leo..... Ikitokea kama alivyosema bas ntaamini wanapanga matokeo... Ila Ikiwa tofauti basi ntaamini Duniani Kuna watu wanajua kuongea [emoji23][emoji23]
Anajua Nakamura atashinda.
Anajua Asuka atashinda.
Sasa anawaletea Figisu figisu, ili juhudi zao zionekane "Sifuri" mbele za watu and that is not fair at all
Maelezo yake yote ni ya kujihami. Eti ""Fulani atashinda kwa sababu fulani" hahahahah
Too low