Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kweli Duniani Kuna watu wanajua kuongea.... Hivi Kweli watu zaid ya 78,000 walipe kiingilio tena pesa ndefu waende kuangalia mapambano ambayo mshindi kashapangwa......Hii ipo bongo tu ambapo watu wanachangia hela mtu ambaye kashapangwa..... Sijui wanaita nn mzuka
 
Wadau wenzangu natoa ushaur tufungue group la wadau wa wrestling kwenye whtsp ili tupeane up date na vitu vingine kuhusu wwe au mnasemaje
 
Watu bilions wamelipa hela kuangalia BLACK PANTHER na kuifanya kuwa ni movie iliyoingiza pesa nyingi zaidi.
Swali: JE BLACK PANTHER ni HALISI/UKWELI??
 
Wadau wenzangu natoa ushaur tufungue group la wadau wa wrestling kwenye whtsp ili tupeane up date na vitu vingine kuhusu wwe au mnasemaje
Tatizo ni watu wasiojulikana mwanangu. Watu washacoment sana habari za siasa halafu ndio utoe namna ya simu. TUTAPENA humu habari
 
Sawa naona kama upo tayal bas coment ndy na kama haupo tayal bas coment hapana ili tuone kula maana uku tunapo elekea ndy panazidi kunoga
 
Ukweli mchungu ni kwamba soon mkanda wa universal champion utakuwa ni wa Roman reign parmanently as long as hakuna wa kumpiga the big dog ukimtoa Lesner ambae anahama WWE!
As long as Lesnar kashinda... Hata huo mzigo nakuachia maana ntakuongezea machungu..... Pole Sana maana nakujua we Roman reigns Damu Damu
 
Tatizo ni watu wasiojulikana mwanangu. Watu washacoment sana habari za siasa halafu ndio utoe namna ya simu. TUTAPENA humu habari
[emoji23][emoji23][emoji23] Wasiojulikana ni balaa mzee..... Hapo ndo shida inapoaanza
 
Chief kubali tuu kuwa haukuwa serious kuweka 50k kwenye hii match
Mwache ana machungu bado....ila Mda mwingine ushabiki muweke pembeni..... Toka Mwanzoni nlikuwa nakwambia jamaa hana ubavu wa kumpiga Lesnar ila bado akawa anabisha....
 
Ila sikutaja mambo ya mzigo.... Mzigo nilitaja kwa Lesnar na Roman reigns tu... Daah nimeamini waongo si wanasiasa tu....ila mi ningekupa.. Believe or not
Hahaha....Jamaa anazingusha maneno, hahahaHH

Never expect honest from cheap people[emoji23] huu msemo huu[emoji23]
 
MMA n nn
 
TNA iko chini ya nani hiii mieleka siipend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…