Ni ya kutunga jamani. Hivi wewe na akili zako shemus na misuli yake akiwa na sizaro washindwe kumpiga huyo baunsa. Kweli??
Ukitaka kuona ni fake kamuangalie broke lesnar akiwa MMA au UFC uone anapokea kichapo kwa watu wenye maumbo madogo tu. Mpk anaomba poo...halafu eti mtu
Mieleka ya kweli ni ile ya Olimpic tu. Sio hiyo inayiitwa ENTERTAIMENT sio sport.
Mbona MOVIE zote ni FAKE lakini ikitoka tu mnakimbilia mara sijui FAST&FURIOUS mara BLACK PANTHER....zote ni maigizo tena ya ku cut action cut action bado watu wapenda.
So as mieleka kule kuna script writer....leo wataongea maneno gani leo atapigana nani na nani atashinda.
Mwanamieleka akisema maneno nje ya script ilivyoandikwa anazimiwa mike... kama CM Punk etc
BROKE hapigani nje ya PPV maana hapendi WWE sema mc man anampa mpunga mrefu so masharti ni PPV tu hizo Raw n Smacdown ni za hao wanaolipwa mpunga mdogo.
Eti mtu mmoja anazungukwa na watu wenye misuli kama 12 washindwe kumtupa nje ya ulingo eti anawapiga wote. Yet akipigana na lesnar one to one anapigwa na huyo huyo lesnar akienda UFC anapigwa na akina MCbride..(type za yule aliyepigana na maywether miili midogo)