dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Kumbe ni huyoThis is boby roode....THE GLORIOUSView attachment 771713
Bora lashley kuliko wale midebwedo Apolo cruise na huyo Titus O'Neil, sijawahi kuona wameshinda pambano hata moja.Bob Lashley me simuamini kabisa kama Titus onile na yule bogas wake keleee kama chizi alafu wanapigwa kila siku[emoji23][emoji23]
Umetoa jibu sahihi kabisa mkuu, maana mtu ambaye huwa anapiga anabaki ulingoni.Hakumpiga ila kashinda
The miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.Umetoa jibu sahihi kabisa mkuu, maana mtu ambaye huwa anapiga anabaki ulingoni.
Ukiona mtu kashinda na anakimbia nje ya ulingo ujue huyu kashinda ila hajapiga
Yap, Fin ballor pia yuko vizurikaribu sana uwanjani......
naunga mkono hoja yako ....lakini Fin ballor sema tu hajakaa poa ......ila akitulia seth rollings hafui dafu.
Japo mm naona wote wako vzr, wakipangwa pamoja lolote laweza kutokea.Bobby roody bado sana, anapigwa asubuhi kabisa
Seth rollin kakahivi mfano wapangiwe seth rollings na the glorious(boby roody) nan atashinda
Mkuu, miz ni mweupeeeeeeeeee ni janja janja tu hajiamniii kabsa ndo maaana anakuja na wale wapambee wakeThe miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.
Kama ni mkali mbona huwa hazubutu kupigana na Lesnar au Roman reign?Mm nikishamuona Braun Strowman ulingoni naenda kulala maana hajawai kumuacha mtu salama [emoji3][emoji3]
Mkuu strawmen ni noma yule nahisi akikutana na Roman atamchakaza, straw ni nomaKama ni mkali mbona huwa hazubutu kupigana na Lesnar au Roman reign?
Hawezi kamwe kumchakaza Roman!....Unakumbuka kwenye ile mechi ya kumtafuta mtu wa kupigana na Lesnar katika kugombania mkanda wa universal champion alibaki Roman na stroman kwenye cage, stroman alikula spear moja mchezo ukaisha na Roman akawa ndiye ameshinda kuwa mtu wa kupigana na Lesnar!!Mkuu strawmen ni noma yule nahisi akikutana na Roman atamchakaza, straw ni noma
Baada ya Braun kuwatoa wote waliokuwa wanashindana na Roman akiwa katulia pembeni anapumzikaHawezi kamwe kumchakaza Roman!....Unakumbuka kwenye ile mechi ya kumtafuta mtu wa kupigana na Lesnar katika kugombania mkanda wa universal champion alibaki Roman na stroman kwenye cage, stroman alikula spear moja mchezo ukaisha na Roman akawa ndiye ameshinda kuwa mtu wa kupigana na Lesnar!!
ha!haaa!!haaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya Braun kuwatoa wote waliokuwa wanashindana na Roman akiwa katulia pembeni anapumzika
Alishawahi kupgana na Brock, japo lesnar alishinda lakini habari aliipataKama ni mkali mbona huwa hazubutu kupigana na Lesnar au Roman reign?
Hahaha hahaha Roman ana ngumi zake zile za kuruka alimgonga lesnar kadhaa mpk hoi, Roman ni noma SanaBaada ya Braun kuwatoa wote waliokuwa wanashindana na Roman akiwa katulia pembeni anapumzika
Kwa sasa pale WWE hakuna wa kumpiga Roman reign isipokuwa labda Lesnar tu!Hahaha hahaha Roman ana ngumi zake zile za kuruka alimgonga lesnar kadhaa mpk hoi, Roman ni noma Sana
Cousin wake the Rock
Hivi Roman Reign kipindi cha zamani kidgo alikuwa kwenye kundi la Nexus (N)?Kwa sasa pale WWE hakuna wa kumpiga Roman reign isipokuwa labda Lesnar tu!