Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Bob Lashley me simuamini kabisa kama Titus onile na yule bogas wake keleee kama chizi alafu wanapigwa kila siku[emoji23][emoji23]
Bora lashley kuliko wale midebwedo Apolo cruise na huyo Titus O'Neil, sijawahi kuona wameshinda pambano hata moja.

Siku hizi naona wamepata ka meneja ka kike kanawasaidia kula hela[emoji12] [emoji12]
 
Umetoa jibu sahihi kabisa mkuu, maana mtu ambaye huwa anapiga anabaki ulingoni.

Ukiona mtu kashinda na anakimbia nje ya ulingo ujue huyu kashinda ila hajapiga
The miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.
 
Mkuu, miz ni mweupeeeeeeeeee ni janja janja tu hajiamniii kabsa ndo maaana anakuja na wale wapambee wake
 
Mm nikishamuona Braun Strowman ulingoni naenda kulala maana hajawai kumuacha mtu salama [emoji3][emoji3]
 
Mkuu strawmen ni noma yule nahisi akikutana na Roman atamchakaza, straw ni noma
Hawezi kamwe kumchakaza Roman!....Unakumbuka kwenye ile mechi ya kumtafuta mtu wa kupigana na Lesnar katika kugombania mkanda wa universal champion alibaki Roman na stroman kwenye cage, stroman alikula spear moja mchezo ukaisha na Roman akawa ndiye ameshinda kuwa mtu wa kupigana na Lesnar!!
 
Baada ya Braun kuwatoa wote waliokuwa wanashindana na Roman akiwa katulia pembeni anapumzika
 
Baada ya Braun kuwatoa wote waliokuwa wanashindana na Roman akiwa katulia pembeni anapumzika
Hahaha hahaha Roman ana ngumi zake zile za kuruka alimgonga lesnar kadhaa mpk hoi, Roman ni noma Sana

Cousin wake the Rock
 
Kelvin Owen na Zayn huwa wananifurahisha Sana kwa comedy zao
 
Back
Top Bottom