Eti kuna kipigo nilikiona money in the bank kati ya roman finn balor na Sam ZainLesnar yupo mafichoni akitoka huko atakutana na kipigo cha mbwa koko!
Kati ya Lesner na John Cena nan ana umri mwingi?Umri wake umeshaenda kaka!......Anatakiwa kustaafu sasa hivi
Cena umri umeenda pia ameshahamia HOLLYWOOD MAZIMA now....yeye ni mtu wa movie tu kama The ROCK na BATISTAKati ya Lesner na John Cena nan ana umri mwingi?
Mbona wrestlemania alikuwepo sasaCena umri umeenda pia ameshahamia HOLLYWOOD MAZIMA now....yeye ni mtu wa movie tu kama The ROCK na BATISTA
Part time tuMbona wrestlemania alikuwepo sasa
Mkuu hiyo ilikuwa "money in the bank" au "money in the bank qualification?"Eti kuna kipigo nilikiona money in the bank kati ya roman finn balor na Sam Zain
Ni ya kitambo au maana mm huwa nafatilia kwenye chanel ya MBC Action
Hiyo hiyo Jinder mahal anaboa kishenzi Roman aliwachakaza kinomaaaa yani nilienjoy japo nampenda Finn balorMkuu hiyo ilikuwa "money in the bank" au "money in the bank qualification?"
Kama ni money in the bank qualification hyo imechezwa kama week mbili zimepita na alishinda finn balor baada ya roman reigns kuchezewa rough na Jinder mahal.
Kilichomkuta jinder baada ya hapo hatasahau
Tujongee SS9 mda huu kwa marudio ya Monday night raw ya janaHiyo hiyo Jinder mahal anaboa kishenzi Roman aliwachakaza kinomaaaa yani nilienjoy japo nampenda Finn balor
Oky utanihadithia tuTujongee SS9 mda huu kwa marudio ya Monday night raw ya jana
Amber Moon ni hatari,, alafu ni mrembo yule.. Yupo sexyAmber Moon ananikosha sana hapa
Mzee unaandika kama Raw uliangalia peke ako vile...Hahahaha mashabiki wa roman reigns mnafuraisha sana.tuliwaambia na nazidi kuwaambia roman reign sio size ya brock resnra.size yake ni hawa kina kevin owens na mzee jindre mahal maharaja.jana romans kapigwa na jindre kana mtoto mpaka akawa analia nisamehe braza utaniua.jindre kampiga viiti vya kutosha nahisi yupo sahv taasisi ya MOI ya huko muhimbili ya marekani.kwanza kwenye mechi romans anapigwa kama mtoto anaomba msaada kwa seth.kevin anapiga mpaka makwenzi jamaa yupo tu.jindre ndio usiseme makofi,mitama bado anaona maluelue.alaf ndio mnamfananisha na mnyama muuaji the beast brock lesnar ambaye wamekutana mara zote na kapigwa kama mbwa mwizi.nyie mashabiki humu ndio mnampa kichwa huyu roman reigns size yake ni jindre(ambaye kwa sasa naona anamzidi) na kevin owens na kina samy zein
Mkuu haya tunaita mahaba maana kama kipigo roman raw ya jana kachezea sana kutoka kwa maharaja.stejin na nje ya stage.Mzee unaandika kama Raw uliangalia peke ako vile...
Hii finishing naikubali sana.End of days.....huamki hiyo
Sio size yake.size yake ni kina jindre mahal na elias(hu wants to walk with elaisHalafu hivi Roman Reign kwann anashindwa kumpiga Lesner?
Nimeamua kunyamaza tu... nawe ukipenda kuniunga mkono itapendeza zaidi.Mzee unaandika kama Raw uliangalia peke ako vile...
Wamepangiwa game kua shahidi.Usiikose hiiHahahaha mashabiki wa roman reigns mnafuraisha sana.tuliwaambia na nazidi kuwaambia roman reign sio size ya brock resnra.size yake ni hawa kina kevin owens na mzee jindre mahal maharaja.jana romans kapigwa na jindre kana mtoto mpaka akawa analia nisamehe braza utaniua.jindre kampiga viiti vya kutosha nahisi yupo sahv taasisi ya MOI ya huko muhimbili ya marekani.kwanza kwenye mechi romans anapigwa kama mtoto anaomba msaada kwa seth.kevin anapiga mpaka makwenzi jamaa yupo tu.jindre ndio usiseme makofi,mitama bado anaona maluelue.alaf ndio mnamfananisha na mnyama muuaji the beast brock lesnar ambaye wamekutana mara zote na kapigwa kama mbwa mwizi.nyie mashabiki humu ndio mnampa kichwa huyu roman reigns size yake ni jindre(ambaye kwa sasa naona anamzidi) na kevin owens na kina samy zein
scurb tomp (kama sijakosea spelling)Ile inaitwa "Face first" hakuna mtu anairesist ile
Sawa mkuuWamepangiwa game kua shahidi.Usiikose hii