Hahahaha mashabiki wa roman reigns mnafuraisha sana.tuliwaambia na nazidi kuwaambia roman reign sio size ya brock resnra.size yake ni hawa kina kevin owens na mzee jindre mahal maharaja.jana romans kapigwa na jindre kana mtoto mpaka akawa analia nisamehe braza utaniua.jindre kampiga viiti vya kutosha nahisi yupo sahv taasisi ya MOI ya huko muhimbili ya marekani.kwanza kwenye mechi romans anapigwa kama mtoto anaomba msaada kwa seth.kevin anapiga mpaka makwenzi jamaa yupo tu.jindre ndio usiseme makofi,mitama bado anaona maluelue.alaf ndio mnamfananisha na mnyama muuaji the beast brock lesnar ambaye wamekutana mara zote na kapigwa kama mbwa mwizi.nyie mashabiki humu ndio mnampa kichwa huyu roman reigns size yake ni jindre(ambaye kwa sasa naona anamzidi) na kevin owens na kina samy zein