Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Lesnar yupo mafichoni akitoka huko atakutana na kipigo cha mbwa koko!
Eti kuna kipigo nilikiona money in the bank kati ya roman finn balor na Sam Zain
Ni ya kitambo au maana mm huwa nafatilia kwenye chanel ya MBC Action
 
Mkuu hiyo ilikuwa "money in the bank" au "money in the bank qualification?"

Kama ni money in the bank qualification hyo imechezwa kama week mbili zimepita na alishinda finn balor baada ya roman reigns kuchezewa rough na Jinder mahal.

Kilichomkuta jinder baada ya hapo hatasahau
 
Hiyo hiyo Jinder mahal anaboa kishenzi Roman aliwachakaza kinomaaaa yani nilienjoy japo nampenda Finn balor
 
Hahahaha mashabiki wa roman reigns mnafuraisha sana.tuliwaambia na nazidi kuwaambia roman reign sio size ya brock resnra.size yake ni hawa kina kevin owens na mzee jindre mahal maharaja.jana romans kapigwa na jindre kana mtoto mpaka akawa analia nisamehe braza utaniua.jindre kampiga viiti vya kutosha nahisi yupo sahv taasisi ya MOI ya huko muhimbili ya marekani.kwanza kwenye mechi romans anapigwa kama mtoto anaomba msaada kwa seth.kevin anapiga mpaka makwenzi jamaa yupo tu.jindre ndio usiseme makofi,mitama bado anaona maluelue.alaf ndio mnamfananisha na mnyama muuaji the beast brock lesnar ambaye wamekutana mara zote na kapigwa kama mbwa mwizi.nyie mashabiki humu ndio mnampa kichwa huyu roman reigns size yake ni jindre(ambaye kwa sasa naona anamzidi) na kevin owens na kina samy zein
 
Mzee unaandika kama Raw uliangalia peke ako vile...
 
Wamepangiwa game kua shahidi.Usiikose hii
 
Back
Top Bottom