Nakamura alishawahi pewa mechi na Finn balor mwaka juzi kama sikosei aiseeee walizichapa sitakaa nisahauKuna demu mmoja anaitwa NIA Jax namkubali, wengine Roman Reign,Kofi Kingstonna Shinisuke Nakamura
mtu ambaye anaweza kumpiga bloc lesnar ni roman reigns labda kidogo braun strowman lkn huyu jamaa anatumia miguvu atumii skills hata match zao nyingi na bloc lesnar anamzidigi skills lkn yy braun ana dominatematchbrock lesnar mzee wa suplex city..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwana ni mbabe sana kwa sasa wwe sidhani kama kuna mtu anaweza kumpiga, kwanza halina formula za upigaji....last game kalambishwa mchanga ilikua na mhuni tripple H wrestlemania29 alikula pedigree za kutosha mpaka akasanda
Seth simpendi kuna siku alichapwa na roman amshukuru Jindah alimsaidiaYes yes shem
kuna wrestlemania moja unakumbuka hakupatikana mshindi walizima wote....reigns pamoja na lesnarmtu ambaye anaweza kumpiga bloc lesnar ni roman reigns labda kidogo braun strowman lkn huyu jamaa anatumia miguvu atumii skills hata match zao nyingi na bloc lesnar anamzidigi skills lkn yy braun ana dominatematch
yap unawaeza ukaona but kuna charges ila wanatoa mwezi mmoja bure uki jiungaMimi nina hii channel,je itaonyesha live?[emoji116]View attachment 796761
Seth mzee wa vurugu nyingi na mviziaji sana....title anazobebaga mara nyingi ni za vurugu vurugu na kuviziana kama MITB ila last man standing haweziSeth simpendi kuna siku alichapwa na roman amshukuru Jindah alimsaidia
kwa hii generation roman peke yake anaweza kumchapa bloc lesnarkuna wrestlemania moja unakumbuka hakupatikana mshindi walizima wote....reigns pamoja na lesnar
Ndio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechiSeth mzee wa vurugu nyingi na mviziaji sana....title anazobebaga mara nyingi ni za vurugu vurugu na kuviziana kama MITB ila last man standing hawezi
Ndio mkuu labda na strawman kidogo wengine bado sanakwa hii generation roman peke yake anaweza kumchapa bloc lesnar
Demiss acha mikwara!!....wewe mieleka huwa unaangalia channel gani na siku gani?Seth simpendi kuna siku alichapwa na roman amshukuru Jindah alimsaidia
zamani walikua kundi moja hao....seth mimi simkubali hata kidogo kuna game ilikua roman na brock alikua kashasanda, jamaa kaingilia ka cash in MITB title kagemua kijinga reigns alikua kashachoka jamaa akachukua Wwe championship tokea pale namchukiaNdio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechi
Jinder na Joe hawamuwezi Lesner... Km Reign alimshindwa, siyo rahisi hayo wengine kumpiga Lesner. Labda Brown Strowman anaweza kuweka challenge kwa Lesner...
Ila i still believe, Roman Reign atajamchapa Lesner
Chakudeka hiyo mieleka huwa unaangalia channel gani? au ITV jmos saa 4 usiku ile ya AsiaNdio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechi
Ingia www.movievoom .com unadownload show zote kuanzia RAW, SMACKDOWN mpaka PPV event kwa mb kiduchunjia rahisi nikuzidownload unaona next day kama Monday night raw jumanne inakua tayari nilikua natumia kickass torrents kudownload now days naona wameifungia nashindwa kuzidownloa na kufatilia
unatumia application gani ya pc kudownload mkuu...torrent orIngia www.movievoom .com unadownload show zote kuanzia RAW, SMACKDOWN mpaka PPV event kwa mb kiduchu
Sio torrent chief, kawaida tuuunatumia application gani ya pc kudownload mkuu...torrent or
poa poa ngoja niijaribuSio torrent chief, kawaida tuu
Baridii..poa poa ngoja niijaribu
Nimeingia nikajibiwa Webpage not available!Ingia www.movievoom .com unadownload show zote kuanzia RAW, SMACKDOWN mpaka PPV event kwa mb kiduchu
Try this www.movievoom.comNimeingia nikajibiwa Webpage not available!