Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kuna demu mmoja anaitwa NIA Jax namkubali, wengine Roman Reign,Kofi Kingstonna Shinisuke Nakamura
Nakamura alishawahi pewa mechi na Finn balor mwaka juzi kama sikosei aiseeee walizichapa sitakaa nisahau
 
brock lesnar mzee wa suplex city..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mwana ni mbabe sana kwa sasa wwe sidhani kama kuna mtu anaweza kumpiga, kwanza halina formula za upigaji....last game kalambishwa mchanga ilikua na mhuni tripple H wrestlemania29 alikula pedigree za kutosha mpaka akasanda
mtu ambaye anaweza kumpiga bloc lesnar ni roman reigns labda kidogo braun strowman lkn huyu jamaa anatumia miguvu atumii skills hata match zao nyingi na bloc lesnar anamzidigi skills lkn yy braun ana dominatematch
 
kuna wrestlemania moja unakumbuka hakupatikana mshindi walizima wote....reigns pamoja na lesnar
 
Seth simpendi kuna siku alichapwa na roman amshukuru Jindah alimsaidia
Seth mzee wa vurugu nyingi na mviziaji sana....title anazobebaga mara nyingi ni za vurugu vurugu na kuviziana kama MITB ila last man standing hawezi
 
Seth mzee wa vurugu nyingi na mviziaji sana....title anazobebaga mara nyingi ni za vurugu vurugu na kuviziana kama MITB ila last man standing hawezi
Ndio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechi
 
Ndio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechi
zamani walikua kundi moja hao....seth mimi simkubali hata kidogo kuna game ilikua roman na brock alikua kashasanda, jamaa kaingilia ka cash in MITB title kagemua kijinga reigns alikua kashachoka jamaa akachukua Wwe championship tokea pale namchukia
 
Jinder na Joe hawamuwezi Lesner... Km Reign alimshindwa, siyo rahisi hayo wengine kumpiga Lesner. Labda Brown Strowman anaweza kuweka challenge kwa Lesner...

Ila i still believe, Roman Reign atajamchapa Lesner

Mkuu umeangalia mapambano ya lesnar na Roman ni mara nyingi Lesnar ana mtime Roman mara atume watu wajifanye polisi ili wamkamate Roman ili yeye aingie kirahisi.... Uliangalie ile ya S.Arabia jinsi Lesnar alivyogongwa kama mbwa koko wa Kariakoo?
 
Ndio kuna siku walikuwa na Semi wanamchangia roman aliwachapa walikuwa wanakimbia jukwaa ila mpaka akaja Jindal kuharibu mechi
Chakudeka hiyo mieleka huwa unaangalia channel gani? au ITV jmos saa 4 usiku ile ya Asia
 
njia rahisi nikuzidownload unaona next day kama Monday night raw jumanne inakua tayari nilikua natumia kickass torrents kudownload now days naona wameifungia nashindwa kuzidownloa na kufatilia
Ingia www.movievoom .com unadownload show zote kuanzia RAW, SMACKDOWN mpaka PPV event kwa mb kiduchu
 
Back
Top Bottom