Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

nimesikia brock Lesner ameachia mkanda wa intercontinental? hizi habari zinaukweli wowote?
 
Wazee wamehamua kuungana ili kuwapa vijana kichapo cha mbwa koko!!.....team hell no![emoji119][emoji119][emoji119]
 
WWE nao wanazingua, yaani tangu the GGR kule Saudi Arabia mpka Leo zishapita PPV kama 5 ivi lakini Lesnar ajaonyesha pua yake
Management ya WWE inakosea sana,inatakiwa kumfukuza huyu jamaa ili mkanda wa universal championship uwe na ushindani kama ulivyo mkanda wa united state champion na intercontinental!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…