Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Tupooo baba daah tuli mis updates saanaWadau huku mpooooo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupooo baba daah tuli mis updates saanaWadau huku mpooooo......
Bloc lesnar na intercontinental wapi na wapinimesikia brock Lesner ameachia mkanda wa intercontinental? hizi habari zinaukweli wowote?
ni universal samahaniBloc lesnar na intercontinental wapi na wapi
Bdo anaoni
ni universal samahani
Haha... Na watagawa dozi sanaWazee wamehamua kuungana ili kuwapa vijana kichapo cha mbwa koko!!.....team hell no![emoji119][emoji119][emoji119]
Brawn Strowman ata cash in mudaa c mwingi achukue mkanda na huyo Lesner abaki huko mtaani with nothing[emoji4][emoji4][emoji4]!.....bango zuri!View attachment 802801
Roman Reign ndo best wrestler kwa sasa kule WWE.. Hakuna ubishiMkuu haya ni mahaba..mechi zote alizopigana lesnar zilizokua rahisi ni zote alizompiga roman
Hivi wataweza kuyapiga yale majamaa mauaji yale yanayoitwa bludgeon brothers kweli??Haha... Na watagawa dozi sana
Mkuu nina wasiwasi sana kama Strowman ataweza kucash inn,nina wasiwasi sana kuwa anaweza kushindwa!!Brawn Strowman ata cash in mudaa c mwingi achukue mkanda na huyo Lesner abaki huko mtaani with nothing
WWE nao wanazingua, yaani tangu the GGR kule Saudi Arabia mpka Leo zishapita PPV kama 5 ivi lakini Lesnar ajaonyesha pua yakeMkuu nina wasiwasi sana kama Strowman ataweza kucash inn,nina wasiwasi sana kuwa anaweza kushindwa!!
Management ya WWE inakosea sana,inatakiwa kumfukuza huyu jamaa ili mkanda wa universal championship uwe na ushindani kama ulivyo mkanda wa united state champion na intercontinental!!WWE nao wanazingua, yaani tangu the GGR kule Saudi Arabia mpka Leo zishapita PPV kama 5 ivi lakini Lesnar ajaonyesha pua yake
Yale yanayokuja na minyundo? Mbwembwe tu, Daniel Brian ni master of tactics.. Lazima wayapigeHivi wataweza kuyapiga yale majamaa mauaji yale yanayoitwa bludgeon brothers kweli??
Strowman atavizia Lesner akiwa kashapigika ndo a cash inMkuu nina wasiwasi sana kama Strowman ataweza kucash inn,nina wasiwasi sana kuwa anaweza kushindwa!!
Tatizo strowman anaweza kujifanya kuwa amepigika na mara ghafla akaanza kugawa suplex za kutosha kummaliza strowman!!Strowman atavizia Lesner akiwa kashapigika ndo a cash in