Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Bobby Lashley aliotea tu ule ushindiAlieshinda ni Bobby!!....Spear aliompiga big dog siyo ya nchi hii!
Bora amtumbue tu mkanda uwe kwenye rotationGeneral manager Kurt Angle kwenye extreme rules ya leo ametangaza kuwa atamtumbua Brock Lesnar kama ataendelea kukwepa mechi!
He won legally kakaMkanda wa wiziwizi!![emoji116][emoji30][emoji30][emoji30].......Kipigo cha mbwa koko kinakuhusu kesho mbwa wewe!![emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 810791
Vip seth alirudisha mkanda? Maana hii gem niliikuta ishachezwaMpaka sasa ni Seth Rollins na AJ Styles ndio waliopiga kazi ya maana kwenye EXTREME RULES
Kwaiyo jana Lesner alitokea?Lesnar ameponea chupuchupu kutumbuliwa na raw manager jana kisa kukwepa kupigana!....Lesnar ni coward champion ever existed!!.....Mashabiki walikuwa wanaimba strip that champio! strip that champion! strip that champion!!
Alitokea yule babu wake(Paul Heyman) akitetemeka kwa hofu ya kutumbuliwa client wake na kuahidi kuwa Lesnar atadefend mkanda huo kwenye Summerslam ambayo itafanyika tarehe 19/08/2008!Kwaiyo jana Lesner alitokea?
Namuona Reign akiwa champion tena kwenye summerslamAlitokea yule babu wake(Paul Heyman) akitetemeka kwa hofu ya kutumbuliwa client wake na kuahidi kuwa Lesnar atadefend mkanda huo kwenye Summerslam ambayo itafanyika tarehe 19/08/2008!
Haters akina Baba Mtakatifu watakutukana kuwa umelogwa na unahitaji maombi![emoji53][emoji53][emoji53]Namuona Reign akiwa champion tena kwenye summerslam
Alaah....Kumbe mnajua kuwa ni ngumu Maji kupanda mlima......Haaah hahah hahah....Labda akapigane na alexa bliz achkue WWE women championHaters akina Baba Mtakatifu watakutukana kuwa umelogwa na unahitaji maombi![emoji53][emoji53][emoji53]
Hakuna kiumbe nisiempenda kama Dolph Ziggler,yeye siku ambayo ana mechi ya one to one anakuja na tag team,yaani yeye pamoja na Drew Mcintyre!!Hakuna kiumbe cmpendi kama randy orton
Basi unatakiwa umchukie zaid the MizHakuna kiumbe nisiempenda kama Dolph Ziggler,yeye siku ambayo ana mechi ya one to one anakuja na tag team,yaani yeye pamoja na Drew Mcintyre!!
Umchukie Miz c utakuwa kichaa ww...Miz ni Comedian.....ndo anafanya WWE inakuwa na mvutoBasi unatakiwa umchukie zaid the Miz
Miz siku hizi ameachana na habari ya kuja na tag team,vile vijamaa vyake vimeunda tag team inaypitwa B-team na cha kuchekesha wanapiga tag team zote za raw!!Basi unatakiwa umchukie zaid the Miz
Sio kwelUmchukie Miz c utakuwa kichaa ww...Miz ni Comedian.....ndo anafanya WWE inakuwa na mvuto
Uchizi unaazaga kama hiviThis Summer Slam team Lesnar mjiandae kisaikolijia kupoteza Universal title coz hata kama akishinda kuna kiumbe ana msubiri kwa haam na briefcase lake {Monster in the bank}