Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Lesnar ameponea chupuchupu kutumbuliwa na raw manager jana kisa kukwepa kupigana!....Lesnar ni coward champion ever existed!!.....Mashabiki walikuwa wanaimba strip that champio! strip that champion! strip that champion!!
Kwaiyo jana Lesner alitokea?
 
Angalau Lesnar angepigana na Boby Lashley at least angepata changamoto kidogo.....
 
Haters akina Baba Mtakatifu watakutukana kuwa umelogwa na unahitaji maombi![emoji53][emoji53][emoji53]
Alaah....Kumbe mnajua kuwa ni ngumu Maji kupanda mlima......Haaah hahah hahah....Labda akapigane na alexa bliz achkue WWE women champion
 
Back
Top Bottom