george mawale
Member
- May 16, 2017
- 38
- 38
Tutakuwa pamoja....Jamani wale wadau wa Monday night raw tusisahau kuamka saa tisa ya usiku hivi leo kwa ajili ya show!!
I hope leo ni siku ya Leshley kula Spear!Tutakuwa pamoja....
Mechi ngumu kutabiri hiyo mkuu.... Reign ni mzuri ila Leshley mzuri zaidi mechi iko super sport ngapi?I hope leo ni siku ya Leshley kula Spear!
Supersport 8 kuanzia saa tisa ya usiku hadi saa kumi na mbili na nusu asubuhi mkuu!Mechi ngumu kutabiri hiyo mkuu.... Reign ni mzuri ila Leshley mzuri zaidi mechi iko super sport ngapi?
Marudio ni kesho.. Right?Supersport 8 kuanzia saa tisa ya usiku hadi saa kumi na mbili na nusu asubuhi mkuu!
Yaaap...ya NO MERCY.Walishapigana kwani? Au unaongelea ile ya No Mercy?
Kwan Strowman alisha cash in?Yaaap...ya NO MERCY.
Haha. Lazima coz Reign haiachi kizembe opportunity ya kupata mkanda...Natabiri tena on Summer Slam main Event ni The beast vs The Big Dog
Niliwaambia watu kuwa, xtreme rules Reign alipigwa kwa sababu hakuwa akigombea kitu.Roman Reign to Summerslam!!.....Baba mtakatifu atapata taabu sana!!
Huwa waangalizia wap mana me huwa nakuja kuona baada ya showJamani wale wadau wa Monday night raw tusisahau kuamka saa tisa ya usiku hivi leo kwa ajili ya show!!
Halafu spear ya Leshley ilikuwa ni ya nguvu sana compare na ya Roman reign ambayo reign alisukumwa tu na kamba za ulingo na akutumia nafasi hiyo kudeliver spear!!Niliwaambia watu kuwa, xtreme rules Reign alipigwa kwa sababu hakuwa akigombea kitu.
Hii ya kumface Lesner, niliwaambia lazima ashinde.
Umeona alivyoitoa ile spear aisee.
Mechi ilikua ni tamu mno
ilikuwa live supersport 8 kuanzia saa tisa ya usiku ila imeshaisha inabidi uangalie marudio leo saa tatu ya usiku supersport 9!!Huwa waangalizia wap mana me huwa nakuja kuona baada ya show