Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Natabiri tena on Summer Slam main Event ni The beast vs The Big Dog
Haha. Lazima coz Reign haiachi kizembe opportunity ya kupata mkanda...

Kwenye extreme rules alipigwa coz hakua akigombea kitu... Hii ya opportunity ya kumface Lesner hatopigwa
 
Hii show ya Seth Rollins,Finn balor vs Drew Mcintyre,Dolph Ziggler ni tamu mno!!....Finishing ya ushindi ya Seth Rollins aliyomgonga Dolph Ziggler ni tamu zaidi,kwa sababu Dolph Ziggler amelewa moja kwa moja!!
 
Roman Reign to Summerslam!!.....Baba mtakatifu atapata taabu sana!!
Niliwaambia watu kuwa, xtreme rules Reign alipigwa kwa sababu hakuwa akigombea kitu.

Hii ya kumface Lesner, niliwaambia lazima ashinde.

Umeona alivyoitoa ile spear aisee.

Mechi ilikua ni tamu mno
 
Roman reign ni hatari sana,amepigwa spear ya hatari akasurvive lakini alivyokuja kumpiga Leshley spear ya kawaida Leshley ameshindwa kusurvive!!....Nasema ni spear ya kawaida kwa sababu Roman reign alisukumwa tu na kama za ulingo akatumia nafasi hiyo kudeliver spear iliyompa ushindi!!....Hakika Brock Lesnar hana chake tena!!
 
Niliwaambia watu kuwa, xtreme rules Reign alipigwa kwa sababu hakuwa akigombea kitu.

Hii ya kumface Lesner, niliwaambia lazima ashinde.

Umeona alivyoitoa ile spear aisee.

Mechi ilikua ni tamu mno
Halafu spear ya Leshley ilikuwa ni ya nguvu sana compare na ya Roman reign ambayo reign alisukumwa tu na kamba za ulingo na akutumia nafasi hiyo kudeliver spear!!
 
Back
Top Bottom