Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

kuna mashabiki maandaz, sasa ile ya kwenye carge ilikuwaje wakampa mkanda lasnar wakat aligongeshwa na roman ndo alianza kutua miguu chini?

Na kumbuka pia kabla ya hiyo mechi lasnar ilikuwa anaenda UFC sasa inakuwaje akaongeza mkataba? yaan msiongee tu..., Kagongeshwa baaas kalalen kisa hammpendi roman, achen zenu bhana...., Kwa sasa ni roman empire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe LESNAR hawezi kupigwa kirahisi vile 100%hii imepangwa
Nadhani ilipangwa maana lesnar inasemekana anataka kwemda ufc na kuachana na wwe sasa wakaona wapange jinsi ya kuukabidhi mkanda kwa mwingine.
 
Sawa. Mitazamo haiwezi fanana. Wewe wasema hivyo na wengine twasema hivi. Roman hamuwezi Lesnar. Mkataba alisaini lini?
Wwe iko staged, bingwa au mshindi wa mechi hupangwa.
 
Kwa wale ambao walishindwa kuangalia live summerslam habari njema ni kwamba inarudiwa leo jumatatu kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa sita ya usiku supersport 9!
 
Leo Miz alipewa kitu kama chuma na mke wake ndicho alichompiga nacho Daniel Bryan kwa siri na kushinda ile mechi leo!!
Yaah niliona hiyo mbinu mapema kuna wakati miz alikuwa amelala kwenye kona na mke wake ameegeza kidevu kwenye meza hivi wakapeana ishara fulani nikajua kuna faulo itafanyika tuu, nilidhani labda mkewe angekuja kuvuruga kumbe ana silaha.. Alafu marefu nao ovyo kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One on one, Roman hamuwezi Lesnar. Huu ni ukweli. Summerslam ilipangwa matokeo. Lesnar licha ya kwamba simkubali, hawezi pigwa na Roman tena kirahisi namna ile.
Imepangwa??? Spear aliyopigwa Lesner, hakuwa kajiandaa psychologically ndo maana akashindwa ku kick off..

Lesner kapigwa kibabe.. Alikua akichukua masaa kumpiga reigns ila reigns anachukua dakika kumchapa lesner

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…