Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Monster Kazoea kujipigia kina k.Owen, maharaja xx the shield ndo kiboko yake the best trio ever in wwe

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hamna ka clip mturushie siwezi subiri marudio.
Huyu Monster nilikuwa shabiki wake but akanikera na ushamba na krupuka zake nikaachana nae nataka nione anavyopoteza mkataba.
 
Nikipata video ya mechi ya the big dog na block lesnar nitafurah Sana maana mechi ilinipita na marudio
 
Strowman bifu lake huwa haiishi refer to Kevin Owens na Elias...

Sasa hawa the shield watakutana na suprize Leo kwenye MNR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau lile bifu la awali la strawman na Roman lililopelekea kuwepo kwa ambulance match? Mbona liliisha na strawman akachukua hamsini zake hadi sa hizi alivyolianzisha tena
 
Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unataka watu wafanye kazi 24/7, mieleka yenyewe inachezwa kuanzia sa 3 usiku. Hivi wazungu wamekuwa wajinga kiasi hicho hadi watoe viingilio vyao kuangalia hayo unayoyaita maigizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…