mangenge2679
Senior Member
- Jan 30, 2018
- 188
- 107
Monster Kazoea kujipigia kina k.Owen, maharaja xx the shield ndo kiboko yake the best trio ever in wwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee hamna ka clip mturushie siwezi subiri marudio.Monster Kazoea kujipigia kina k.Owen, maharaja xx the shield ndo kiboko yake the best trio ever in wwe
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaya kwamba brock anaenda ufc kwann jana mlopokaji wake akaomba rematch sasa..., Kama hayupo wwe rematch ya nn?hamia ufc tu huko baba, sasa unaangalia vitu gan kama viko scripted? komaa na ufc ambayo si ya kuscript
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajapoteza bado maana The shield waliingia kabla kengele haijapigwa so bado ni mmiliki halali wa MITB title
Nikipata crip ya mechi ya the big dog na block lesnar nitafurah Sana maana mechi ilinipita na marudio
Go YouTubeNikipata video ya mechi ya the big dog na block lesnar nitafurah Sana maana mechi ilinipita na marudio
Bora aisee maana yale mazee machawi nilikuwa siyapendi balaaHatimaye New Day wameibuka kuwa the new Smackdown Tag team Champion baada ya kuwachakaza The bludgeon Brothers {Haper & Rowan}
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa. Hapa inabidi aka cash in smack down hukoHajapoteza bado maana The shield waliingia kabla kengele haijapigwa so bado ni mmiliki halali wa MITB title
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau lile bifu la awali la strawman na Roman lililopelekea kuwepo kwa ambulance match? Mbona liliisha na strawman akachukua hamsini zake hadi sa hizi alivyolianzisha tenaStrowman bifu lake huwa haiishi refer to Kevin Owens na Elias...
Sasa hawa the shield watakutana na suprize Leo kwenye MNR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka watu wafanye kazi 24/7, mieleka yenyewe inachezwa kuanzia sa 3 usiku. Hivi wazungu wamekuwa wajinga kiasi hicho hadi watoe viingilio vyao kuangalia hayo unayoyaita maigizo!Nimefungua nikadhani mnazungumzia mieleka kumbe haya maigizo!?
Mnaoangalia ujinga huu mtakuwa hamna kazi za kufanya .
Mieleka walikuwa wanacheza kina power Bernardo,
Jaffary Vuru"Mroma"
Power Savimbi,
Costa Mwebe na wababe wengine wa kipindi kile!
Sent using Jamii Forums mobile app