kamikaze tz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 232
- 174
E tv siku gani na saa ngapi
Hiyo etv hawaonyeshi tena, walishaacha tangu mwaka jana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
E tv siku gani na saa ngapi
Super sport ndo wanaoneshaHiyo etv hawaonyeshi tena, walishaacha tangu mwaka jana mkuu
Super sport ndo wanaonesha
Kama star times wanaonesha supersport bas utaonaSuper spot kwenye kang’amuzi cha star times au?
Hiyo ilikua poa kipindi cha kina jbl,boby rashley,rvd,big dad v,umaga,chris benoit,eddie guerelo etc
Umaga ndo alikufa au greate carly.....????Sure, dah umenikumbusha hao jamaa, wengi washa fariki . RIP Eddie Guerrero, Big dad V aka Vicera, Umaga na Pia Chris Benoit ambae aliua familia yake na yeye pia kujiua .
Umaga m=ambaye Jina lake halisi ni " Edward Smith Fatu " pia akijulikana kwa ring names kama Uso Fatu na Jamal alifariki tarehe December 4, 2009 (aged 36) huko Houston, Texas, United States chanzo cha kifo chake ni Brain hemorrhageUmaga ndo alikufa au greate carly.....????
Haaaah kumbe...... Na Greate Carly aliendaga wapi ????Umaga m=ambaye Jina lake halisi ni " Edward Smith Fatu " pia akijulikana kwa ring names kama Uso Fatu na Jamal alifariki tarehe December 4, 2009 (aged 36) huko Houston, Texas, United States chanzo cha kifo chake ni Brain hemorrhage
great Khali bado yupo WWE , an very ppor mic skills, ndo maana hana nafasi tenaHaaaah kumbe...... Na Greate Carly aliendaga wapi ????
Hebu nifafanulie hiyo mkuugreat Khali bado yupo WWE , an very ppor mic skills, ndo maana hana nafasi tena
Nakamura ni noma sana huyu jamaa, Japan wanamtambua[emoji23].Upiganajiii wake huyu jamaa huwa unaniachaa hoiii ila kajitahidiii make kakaa mda mrefu kwenye ringiii
2018 royal ramble winner japo sikutegemea kama atatusuaa
Daah! Wazee, Ina maana STARTIMES hawana Channel yoyote ya kuonyesha WWE?Daah Nakamura kanifurshisha sana....
Asuka, She know.
Hivi Sasha ndo yule anajiita THE BOSS?Nimeipenda sana mechi ya Sasha na Asuka..... Hivi kweli hakuna wa kumpiga Asuka
HahahhaahhahaKama star times wanaonesha supersport bas utaona
23,000 ila azam huwa hawaonyeshi live,wanaonyesha wiki moja baada ya mechi!.....Kama unataka kuona live nenda DSTV ila huko kifurushi ni cha maana siyo 23,000/= tena!Kifurushi chenye hizo Channel kinalipiwa sh ngapi kwa Mwezi?
Akili ya Semi Zen haina tofauti na akili ya kuku!!Kelvin Owen na Semi zen wameshaisha..... Kujifanya wanagombana ni baada ya kuona hawawezi kushinda ile gemu
Mi naona mtz ni smart sana hakurupuki anajua anachokifanya ila anatumia mask ya u coward ku fool wapinzani wakeMitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!