Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Ila pia Unaweza kupakua application yao kwenye playstore alafu unacheck on line
 
Hiyo ilikua poa kipindi cha kina jbl,boby rashley,rvd,big dad v,umaga,chris benoit,eddie guerelo etc

Sure, dah umenikumbusha hao jamaa, wengi washa fariki . RIP Eddie Guerrero, Big dad V aka Vicera, Umaga na Pia Chris Benoit ambae aliua familia yake na yeye pia kujiua .
 
Sure, dah umenikumbusha hao jamaa, wengi washa fariki . RIP Eddie Guerrero, Big dad V aka Vicera, Umaga na Pia Chris Benoit ambae aliua familia yake na yeye pia kujiua .
Umaga ndo alikufa au greate carly.....????
 
Umaga ndo alikufa au greate carly.....????
Umaga m=ambaye Jina lake halisi ni " Edward Smith Fatu " pia akijulikana kwa ring names kama Uso Fatu na Jamal alifariki tarehe December 4, 2009 (aged 36) huko Houston, Texas, United States chanzo cha kifo chake ni Brain hemorrhage
 
Haaaah kumbe...... Na Greate Carly aliendaga wapi ????
 
Kelvin Owen na Semi zen wameshaisha..... Kujifanya wanagombana ni baada ya kuona hawawezi kushinda ile gemu
 
Upiganajiii wake huyu jamaa huwa unaniachaa hoiii ila kajitahidiii make kakaa mda mrefu kwenye ringiii

2018 royal ramble winner japo sikutegemea kama atatusuaa
Nakamura ni noma sana huyu jamaa, Japan wanamtambua[emoji23].

Am his Fun.
 
Daah Nakamura kanifurshisha sana....
Daah! Wazee, Ina maana STARTIMES hawana Channel yoyote ya kuonyesha WWE?

Nitawahama aisee?

Vipi Azam,WWE ipo?

DSTV kifurushi cha kuwezesha kuangalia WWE ni sh ngapi kwa Mwezi?

STARTIMES, Soon natupa king'amuzi chenu.
 
Kifurushi chenye hizo Channel kinalipiwa sh ngapi kwa Mwezi?
23,000 ila azam huwa hawaonyeshi live,wanaonyesha wiki moja baada ya mechi!.....Kama unataka kuona live nenda DSTV ila huko kifurushi ni cha maana siyo 23,000/= tena!
 
Back
Top Bottom