Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hao brock atawaua mchana kweupe.hakuna mpiganaji hapo zaidi ya waruka sarakasi na hakuna mwenye uwezo wa kumkalisha brock lesnar.nashangaa hao unaowataja kila wiki wao wanapigana lakinj brock yupo kwake analimba mbogamboga lakini akija uwanjani anawazibua sio kitoto.je angekua anapigana kila siku si ataua watu wengi?muulize braun strawman ambae ndio mbabe brock akiwa hayupo aulizwe kashapigwa mara ngapi.huyo seth na finn wote wanakalishwa na aj styles na denyo brian
Kwa hiyo kwa akili zako unaamini kuwa Strowman ana uwezo wa kumpiga Seth rollins au Finn balor?
 
Finn na seth hawana uwezo wa kuwapiga denyo brayan na aj styles.tuanzie hapo kwanza ndipo tuhamie kwa mnyama the beast
Jibu swali langu mkuu! Nimekuuliza Strowman a.k.a kubwa jinga ana uwezo wa kumpiga Seth rollins au finn balor?
 
Jibu swali langu mkuu! Nimekuuliza Strowman a.k.a kubwa jinga ana uwezo wa kumpiga Seth rollins au finn balor?
Braun strawman wote tunakubaliana ni miguvu mingi bila kutumia akili.ndio anaweza kukalishwa na hao uliowataja.na hata tlc kwa ujanja wa rafu alizonazo cobin acting GM anaweza kumlaza get thiz hands kwa end of days
 
Kubwa jinga anaendelea vizuri mkuu baada ya akina corbin kumshambulia kwenye raw ya juzi![emoji2][emoji2][emoji2]
Braun%20Strowman%20Injured.jpeg
 
Finn na seth hawana uwezo wa kuwapiga denyo brayan na aj styles.tuanzie hapo kwanza ndipo tuhamie kwa mnyama the beast
Shida yako ni kulinganisha watu wa brand mbili tofauti ambao sio rahisi kukutana, Ni bora ukaongelea wale wa MNR yaani Finn, Seth na lesner wako brand moja.
 
Ndio mkuu naelewa hawa jamaa ni brand tofauti.nilichokua nasema ni kwamba seth hajapata challenges za kutosha ndio maana anaongea sana.hajakutana na watu wenye roho ngumu.tlc atapigwa na dean ambrose na nikichokua nasema seth uwezo wake mdogo sana yeye ni mambio na sarakasi ingetokea akutane na denyo brayan,aj styles,ray mastirio ata finn ballow wanamkalisha mapema sana.seth hajakutana na wababe anakutana na siafu tu.namkumbuka cm punk best in the world
Shida yako ni kulinganisha watu wa brand mbili tofauti ambao sio rahisi kukutana, Ni bora ukaongelea wale wa MNR yaani Finn, Seth na lesner wako brand moja.
 
Tatizo huaminiki.uliweka dau ukashindwa na pesa hukutoa.nakuambia kama brock lesnar the beast akikutana na seth.nipo tayari kubet 20,000 kwa the beast.ikitokea mkuu naomba tubet ila safari hii uwe mkweli utoe fedha
[emoji41][emoji41][emoji41]
NOC14_Photo_284-3184021190.0.jpeg
 
Wee kataa usikatae ila Jua kabisa Kuwa Huu sasa ni wakati wa The monster kuja kuchukua universal championship
 
Kiuhalisia lesnar sio Entertainer coz haiwezekani mechi inaanza anakimbilia suplex city mpaka anashinda
 
Kiuhalisia lesnar sio Entertainer coz haiwezekani mechi inaanza anakimbilia suplex city mpaka anashinda
Jamaa hajui ule mchezo na ndio maana kipindi cha akina Stone cold na Goldberg hakuwa akifanya la maana coz walimjulia zake ni kukimbilia suplex na f5 hajui kupambana kabisa na hata ukiona mechi zake za HC huwa anahangaika tu
 
Na hicho ndio kinachofanya WWE wasimpe match kila weeka on RAW coz haburudishi

Back
Top Bottom