Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwa hiyo kwa akili zako unaamini kuwa Strowman ana uwezo wa kumpiga Seth rollins au Finn balor?Hao brock atawaua mchana kweupe.hakuna mpiganaji hapo zaidi ya waruka sarakasi na hakuna mwenye uwezo wa kumkalisha brock lesnar.nashangaa hao unaowataja kila wiki wao wanapigana lakinj brock yupo kwake analimba mbogamboga lakini akija uwanjani anawazibua sio kitoto.je angekua anapigana kila siku si ataua watu wengi?muulize braun strawman ambae ndio mbabe brock akiwa hayupo aulizwe kashapigwa mara ngapi.huyo seth na finn wote wanakalishwa na aj styles na denyo brian