Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unahusika pia na machine za kusaga na kukoboa nataka?(mahindi)Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
So hiko kiwanda ambacho we ni wakala wao wanatengeneza mashine pekee za kusindika vyakula au pia na mashine za aina nyingine?Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
Machine zote zinazohusika na food proccesing, production na catering equipmentsSo hiko kiwanda ambacho we ni wakala wao wanatengeneza mashine pekee za kusindika vyakula au pia na mashine za aina nyingine?
Send me ur contact.. Or check me 0766530478 kama hutojaliMachine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
Machine zipo, ukitaka, na kama unataka ujuzi sasa wa kusindika hiyo kitu hapo sasa ni elimu nyingine. Itaweza kukugharimu kidogo elimu hiyo.Mkuu nataka kujua jinsi ya kusindika Nazi ya pakti na juice ya embe
Machine zipo, ukitaka, na kama unataka ujuzi sasa wa kusindika hiyo kitu hapo sasa ni elimu nyingine. Itaweza kukugharimu kidogo elimu hiyo.
Si kwania ya uchoyo, inataka muda sasa kuandaa, bora ingekuwa whatsapp ningekuwa narekodi clip yangu ya voice natuma, kutype uvivuBabaanyi kwanini usiweke vitu hadharani?usiwe mchoyo JF hatuendi hivyo mweeh
kaka unda whatsap group utusaidie mkuu,unapatakana mkoa gani?Si kwania ya uchoyo, inataka muda sasa kuandaa, bora ingekuwa whatsapp ningekuwa narekodi clip yangu ya voice natuma, kutype uvivu
Nipo Dar, nitakujuza bro soon. Asante kwa ushauri.kaka unda whatsap group utusaidie mkuu,unapatakana mkoa gani?
Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
Wazo zuri ni vema kufanya tafiti window shop, tafuta kwa source yoyote ujuayo aina ya mashine utakazo, then ukipata bei, nipe na Mimi list ya machine unazotaka kujua bei kutoka katika vyanzo vyangu then nitakupa si lazima pm hata hapa halafu utalinganisha kwa faida yako.Babaanyi nimekusoma lakini unanihakikishiaje kuwa wewe pekee ndiye mwenye bei nafuu kuliko wengine?kwanini unataka pm tuu??nijuavyo mjasiria yeyote hawezi kutoa pesa yake bila kupata bei ya bidhaa husika sehemi mbili tatu tofauti...weka basi walau tujue ina-range kati ya sh ie 10-13 ili nilinganishe na kwa wenzako nami niridhike ndipo nikutafute au unasemaje mkuu?
Add me mkuu 0714547830By the time being tunaweza Anza mdogo mdogo kutupia namba za whatsapp kwa ajili ya group LA usindikaji vyakula na vifaa vya kazi hizo
Mashine ya kumenya karanga na kusaga ipo? Inaweza kuwa moja au hata separate ya kumenya tu na kusaga tu unazo? Ya kumenya naona hapa hakuna hata sido hawanaMachine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.