Wadau wa Usindikaji tukutane hapa

Wadau wa Usindikaji tukutane hapa

Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
 
Je unahusika pia na machine za kusaga na kukoboa nataka?(mahindi)
 
Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
So hiko kiwanda ambacho we ni wakala wao wanatengeneza mashine pekee za kusindika vyakula au pia na mashine za aina nyingine?
 
Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
Send me ur contact.. Or check me 0766530478 kama hutojali
 
Mkuu nataka kujua jinsi ya kusindika Nazi ya pakti na juice ya embe
Machine zipo, ukitaka, na kama unataka ujuzi sasa wa kusindika hiyo kitu hapo sasa ni elimu nyingine. Itaweza kukugharimu kidogo elimu hiyo.
 
Mkuu Mr Mtui mimi nataka nijue jinsi ya kusindika mbogamboga(za majani) na nyama(samaki,kuku,beef)..asante
 
Babaanyi kwanini usiweke vitu hadharani?usiwe mchoyo JF hatuendi hivyo mweeh
Si kwania ya uchoyo, inataka muda sasa kuandaa, bora ingekuwa whatsapp ningekuwa narekodi clip yangu ya voice natuma, kutype uvivu
 
By the time being tunaweza Anza mdogo mdogo kutupia namba za whatsapp kwa ajili ya group LA usindikaji vyakula na vifaa vya kazi hizo
 
Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.

Babaanyi nimekusoma lakini unanihakikishiaje kuwa wewe pekee ndiye mwenye bei nafuu kuliko wengine?kwanini unataka pm tuu??nijuavyo mjasiria yeyote hawezi kutoa pesa yake bila kupata bei ya bidhaa husika sehemi mbili tatu tofauti...weka basi walau tujue ina-range kati ya sh ie 10-13 ili nilinganishe na kwa wenzako nami niridhike ndipo nikutafute au unasemaje mkuu?
 
Wazo zuri ni vema kufanya tafiti window shop, tafuta kwa source yoyote ujuayo aina ya mashine utakazo, then ukipata bei, nipe na Mimi list ya machine unazotaka kujua bei kutoka katika vyanzo vyangu then nitakupa si lazima pm hata hapa halafu utalinganisha kwa faida yako.
 
Machine zote za food proccesing, kusaga spice,nichek pm, Mimi ni wakala WA manufacturing industry moja, una place order yako, unapata bei rahisi sana. Food production and proccesing equipment kwa tanzania, bei za hapa unaweza lia sana.
Mashine ya kumenya karanga na kusaga ipo? Inaweza kuwa moja au hata separate ya kumenya tu na kusaga tu unazo? Ya kumenya naona hapa hakuna hata sido hawana
 
Back
Top Bottom